Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Aiseeh mwezi uliopita nilikuwa tabora tena nilipofikia kuna vichaka si mchezo, kwa jinsi nilivyosoma huu uzi napata uoga kurudi kwenye chaka lileNasikia wanapatikana sana Tabora, mi kwenda Tabora labda nibebwe na greda la Manispaa...
Acha niendelee kuitwa mwanaume wa Dar...
Potelea mbali!
DUh... usirudie tena. Mungu alikuponya na huyu shetani anayetambaaAiseeh mwezi uliopita nilikuwa tabora tena nilipofikia kuna vichaka si mchezo, kwa jinsi nilivyosoma huu uzi napata uoga kurudi kwenye chaka lile
Aseee...sipati picha ndo angekuwa Mimi!Alikua mkubwa.. Mrefu kama mita 3..
Sio wote nigreen mamba, nyoka wakijani wapo wengi namara nying green mamba hakai majumbannyumbani msasani kila wakati lazima aonekane sababu pana miti mingi hupendelea miti wakati mungine anajaribu kuingia ndani ya nyumba
hawa huwa hawapendi vita wanakimbia binadamu ukikutana nao
Miaka yote ilikua ukigongwa bhas kifo 100% ila saiv kuna anti venon no way lazma upatiwe hiyo lacvyo utakufa 2Nimesoma tokea mwanzo wengi mmetoa ushuhuda wa black mamba bite ila hakuna hata mmoja aliye toa somo la endapo uking'atwa first unatakiwa ufanye nini ili poison isiendelee kusambaa mwilini shame on you wakuu
Aseee...sipati picha ndo angekuwa Mimi!
Ningejikojolea hakyanani!
Hawiki usiku pekee hata mchana akiwa anawinda kitoweo huwa anawika, pia huwa analia kama Panya anapokuwa na Njaa, na Panya wakijipendekeza tu kwa kudhani ni mwenzao wanaishia kuwa kitoweousiku huyo anawika kama jogo ni nyoka hatari sana usiombe ukutane nae akikuona hakimbii yeye anakufuata ulipo tofauti na nyoka wengine wanaogonga kwa bahati mbaya
Hiyo hiyo antivenom inaweza kukuuwa.Miaka yote ilikua ukigongwa bhas kifo 100% ila saiv kuna anti venon no way lazma upatiwe hiyo lacvyo utakufa 2
R.I.PHuwa siogopi nyoka na napenda kukutana na kupambana nao, ila hili jamaa niwe nalisikia tu. Limewahi kuua familia ya jirani mwaka 1979, enzi za vita vya Tz Vs Ug... Familia nzima ya watu 12 (baba, mama & watoto 10) ndani ya handaki...
Sijawahi kusikia likidharauliwa, always ni salute tu! Bora cobra ni mzito, si mjanja namuua hata kama nimekaa
Hapana... acha tukose watalii... Huyu nyoka ni wa kuangamiza.
Shenzy kabisa huyu mdudu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui wanaongea lugha gani hawaHawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
Hakuna uwezekano wa kuwahi?Baada tu ya kung'atwa yana anza maumivu makali sana na malengelenge baada ya siku mbili mkono hauwezi kuutambua unavimba kama balooni halafu unaanza kuoza.wiki tu.
Nimerudia kusoma mara mbili hapo mwishoHuko kigoma kuna watoto walikuwa wanacheza katika mbuyu huku wakiwa wanakwea hadi juu kabisa. Kumbe kileleni mdudu koboko katulia zake anawaangalia tu ila wenyewe hawakumuona.bas unaambiwa mtoto mmoja katika kuparamia matawi kule juu akamshika kwa bahat mbaya na kuangalia ni koboko..hamadiiii alipiga kelele na kuachia matawi na kuanguka ,wenzake nao wakatimua mbio kutokana na kelele zile bila kujua kuna shida gan.bas yule koboko hakufanya ajizi alimfata dogo pale pale alipoanguka na kumpa bite za kutosha dogo kaanza kubadilika rangi .alipata maumivu makali sana na bahati nzuri alikuja kuokolewa na KIFO kutokana na maumivu yale.watoto wenzie waliokimbia wakaja baada ya muda mfupi wakiwa na watu wazima kujua kulikoni wakakuta dogo hana maumivu tena baada ya msamaria mwema KIFO kumuokoa ..koboko msikie tu
Ukiwahiwa kudungwa Antivenin huwezi kupata tissue damage.Hakuna uwezekano wa kuwahi?
Yan huyu jamaa ***** kweli anapenda kutazama wenzie wakikata kambaHuko kigoma kuna watoto walikuwa wanacheza katika mbuyu huku wakiwa wanakwea hadi juu kabisa. Kumbe kileleni mdudu koboko katulia zake anawaangalia tu ila wenyewe hawakumuona.bas unaambiwa mtoto mmoja katika kuparamia matawi kule juu akamshika kwa bahat mbaya na kuangalia ni koboko..hamadiiii alipiga kelele na kuachia matawi na kuanguka ,wenzake nao wakatimua mbio kutokana na kelele zile bila kujua kuna shida gan.bas yule koboko hakufanya ajizi alimfata dogo pale pale alipoanguka na kumpa bite za kutosha dogo kaanza kubadilika rangi .alipata maumivu makali sana na bahati nzuri alikuja kuokolewa na KIFO kutokana na maumivu yale.watoto wenzie waliokimbia wakaja baada ya muda mfupi wakiwa na watu wazima kujua kulikoni wakakuta dogo hana maumivu tena baada ya msamaria mwema KIFO kumuokoa ..koboko msikie tu