Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nasikia wanapatikana sana Tabora, mi kwenda Tabora labda nibebwe na greda la Manispaa...

Acha niendelee kuitwa mwanaume wa Dar...

Potelea mbali!
Aiseeh mwezi uliopita nilikuwa tabora tena nilipofikia kuna vichaka si mchezo, kwa jinsi nilivyosoma huu uzi napata uoga kurudi kwenye chaka lile
 
Aiseeh mwezi uliopita nilikuwa tabora tena nilipofikia kuna vichaka si mchezo, kwa jinsi nilivyosoma huu uzi napata uoga kurudi kwenye chaka lile
DUh... usirudie tena. Mungu alikuponya na huyu shetani anayetambaa
 
nyumbani msasani kila wakati lazima aonekane sababu pana miti mingi hupendelea miti wakati mungine anajaribu kuingia ndani ya nyumba
hawa huwa hawapendi vita wanakimbia binadamu ukikutana nao
Sio wote nigreen mamba, nyoka wakijani wapo wengi namara nying green mamba hakai majumban
 
Nimesoma tokea mwanzo wengi mmetoa ushuhuda wa black mamba bite ila hakuna hata mmoja aliye toa somo la endapo uking'atwa first unatakiwa ufanye nini ili poison isiendelee kusambaa mwilini shame on you wakuu
Miaka yote ilikua ukigongwa bhas kifo 100% ila saiv kuna anti venon no way lazma upatiwe hiyo lacvyo utakufa 2
 
usiku huyo anawika kama jogo ni nyoka hatari sana usiombe ukutane nae akikuona hakimbii yeye anakufuata ulipo tofauti na nyoka wengine wanaogonga kwa bahati mbaya
Hawiki usiku pekee hata mchana akiwa anawinda kitoweo huwa anawika, pia huwa analia kama Panya anapokuwa na Njaa, na Panya wakijipendekeza tu kwa kudhani ni mwenzao wanaishia kuwa kitoweo

Majira ya kiangazi kuna wenyeji wa mkoa wa kusini walikuwa na tabia ya kuja kuchimba panya shambani kwetu, sasa jamaa katika kuchimba chimba akaanza kusikia swiii swiiii swiii, ila hiyo swii swii haikuwa ya kawaida akajua kabisa huyu sio panya bali ni Mdudu yupo mawindoni kwani hata Nyoka kwao ni kitoweo jamaa akaandaa sime tu,

Basi ile kutoka tu jamaa akamchinja mazima, nilishangaa siku hiyo
 
Koboko wnapatikana hata huko mpanda katavi kwa sasa yaani huyo nyoka ana hasira siyo za dunia hii akifanikiwa kuingia ndani ya nyumba hataki kuguswa na chochote yaani kila mwili wake ukigusana hata na kikombe au sufuria yeye anagonga tu ukisikia ko ko ko ujue Mzee WA kazi kazama ndani tayari hapo shughuli mnayo Kuna jamaa yangu allikuwa amepanda mitini anakata Kuni mchana mara koboko anarudi kwenye mawindo yake halafu shimoni anamokaa liko jirani na huo mti Bwana we tulimsikia jamaa anapiga kelele kama kafumaniwa maana Yule nyoka akishakomaa anapotembea anatoa milio ya kutosha utasikia shiiiiiiiiiiiii ujue anakuja alizama shimoni tukawai kuweka magogo na mipira tukawasha Moto akaungua tukachimba pembeni ya shimo tukamtoa akiwa hajiwezi daa hatari Yule nyoka
 
mon-super-super-(1280x854)-.jpg
 
Huwa siogopi nyoka na napenda kukutana na kupambana nao, ila hili jamaa niwe nalisikia tu. Limewahi kuua familia ya jirani mwaka 1979, enzi za vita vya Tz Vs Ug... Familia nzima ya watu 12 (baba, mama & watoto 10) ndani ya handaki...

Sijawahi kusikia likidharauliwa, always ni salute tu! Bora cobra ni mzito, si mjanja namuua hata kama nimekaa
R.I.P
 
Hapana... acha tukose watalii... Huyu nyoka ni wa kuangamiza.

Shenzy kabisa huyu mdudu...

Naunga mkono hoja ya promo ya utalii. Aidha, kuwatokomeza nyoka hawa kabisa, niamini mimi, madhara yake kwa binadamu na mazingira yake huenda yakawa makubwa kuliko ilivyo sasa.
 
Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui wanaongea lugha gani hawa
 
Huko kigoma kuna watoto walikuwa wanacheza katika mbuyu huku wakiwa wanakwea hadi juu kabisa. Kumbe kileleni mdudu koboko katulia zake anawaangalia tu ila wenyewe hawakumuona.bas unaambiwa mtoto mmoja katika kuparamia matawi kule juu akamshika kwa bahat mbaya na kuangalia ni koboko..hamadiiii alipiga kelele na kuachia matawi na kuanguka ,wenzake nao wakatimua mbio kutokana na kelele zile bila kujua kuna shida gan.bas yule koboko hakufanya ajizi alimfata dogo pale pale alipoanguka na kumpa bite za kutosha dogo kaanza kubadilika rangi .alipata maumivu makali sana na bahati nzuri alikuja kuokolewa na KIFO kutokana na maumivu yale.watoto wenzie waliokimbia wakaja baada ya muda mfupi wakiwa na watu wazima kujua kulikoni wakakuta dogo hana maumivu tena baada ya msamaria mwema KIFO kumuokoa ..koboko msikie tu
 
Nimerudia kusoma mara mbili hapo mwisho
 
Yan huyu jamaa ***** kweli anapenda kutazama wenzie wakikata kamba
 
Back
Top Bottom