Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
watakuwa hawa wa kawaida hao uliokuwa unawauwaMm nimewaua sana tabata chang'ombe miaka ya 1996mpaka 2000 kota za veta
hahahaha nimecheka sanaNasikia wanapatikana sana Tabora, mi kwenda Tabora labda nibebwe na greda la Manispaa...
Acha niendelee kuitwa mwanaume wa Dar...
Potelea mbali!
Jambo la ajabu linalomfanya Koboko awe tofauti na nyoka wengine ni anaweza kukugonga zaidi ya mara moja halafu asicheze mbali.Yan huyu jamaa ***** kweli anapenda kutazama wenzie wakikata kamba
Huyu nyoka ni death penaltyView attachment 772617
Koboko kama huyu alivyokomaa anauwezo wa kukugonga kichwani ndani ya sekunde mbili,na kama kuna miti karibu huwa anatembea huu ya miti huku akipambana.
Duh hii Ni zaid ya futi saba mzee babaUkiangali hii picha vizuri halafu ukizoom kwenye mkia wa huyu Koboko utamuona alivyomrefu na mkubwa huyu Koboko usijidanganye kuwa ukimbebea panga unaweza kumuuwa speed yake ndio itakayikuacha hoi.shikamoo koboko.View attachment 772721
Kobla naskia akiingia ndani utamsikia tu maana huwa anagonga gonga chochote mbele yake..akiingia jikon utaskia masufuria yanavyogongwa akikuta umelala hajali anakugonga ivo ivoKoboko akiingia ndani ya nyumba ni vigumu kukugonga kama ukiwa umelala fofofo,tofauti na Cobra.
Utasikia anakugonga kwenye dushe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kobla naskia akiingia ndani utamsikia tu maana huwa anagonga gonga chochote mbele yake..akiingia jikon utaskia masufuria yanavyogongwa akikuta umelala hajali anakugonga ivo ivo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hatari sanaUtasikia anakugonga kwenye dushe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadithi njoo utamu koleaNi balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Ni nyoka wawili tofautiHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Unaeza imba pambio la shuka bwana shuka ukikutana na koboko[emoji25]Kifutu huwa hana shida na mtu hata ukipita jirani hana habari nawe labda umkanyage bila kujua...hapo umeshanunua kesi.Ana sumu mbaya sana na inaozesha jeraha lakini koboko (black mamba) hata bila sababu ikiwa tu mmekutana yeye lazma akuletee noma
View attachment 772747
Nguchiro aliyeshiba kakutana na saizi yake.
Ugly one[emoji33]Stiletto snake angalia jinsi fangs zilivyotoka nje,huyu nyoka sumu yake inafanana na Puff adder huyu akikung'ata unaoza.View attachment 774666 View attachment 774668
Lina roho mbaya hata israel analiogopa linaitwa "the kiss of death" akikomaa hua anajisikia fahari kuuaJoka hili lina roho mbaya acha, wakati mwingine najiuliza kwa nini liliumbwa,
Likiona mtu linawaza kuua tu hata kama halijachokozwa, pambaf kabisa