Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
watakuwa hawa wa kawaida hao uliokuwa unawauwaMm nimewaua sana tabata chang'ombe miaka ya 1996mpaka 2000 kota za veta
hii kitu ni hatari kwelikweli ipo siku nilikuwa naenda kuloga sehemu nipo kwenye bodaboda hili likitu likawa linakatisha barabara tahadhari ya kwanza ni dereva bodaboda aliniambia nitulie tuli na yeye akatulia tulii kimya mpaka likakatisha kuja kumuuliza akaniambia blackmamba alikuwa anakatisha barabara angethubutu kumbugudhi maiti zetu zingeokotwa na walozi wenzangu maana hiyo ni njia ya kwenda ulozini kule uchira moshi