Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Mama Mdogo siji KATAVI Ng'oooo Niliwahi kusikia kuna mchoma mkaa mmoja aling'atwa na huyu nyoka huko huko kwenu akafa mara moja
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu usiombe kukutana nao, wapo wengi misitu ya sikonge kwenye vichuguu, ukikutana naye akiwa amesimama mbele yaki usijaribu ujanja wowote hutaweza kumwahi, labda umwombe Mungu akupe ujasiri wa kutulia tuli hadi ashushe kichwa chini ndio ujaribu ujanja mwingine otherwise WAFWA, akikuuma kichwani sijui utafunga wapi
Wale tuliopitia mafunzo fulani ya porini porini, hawa nyoka ni kawaida kuwaona na kuwatofautisha ila haka ka mamba acha kabisa. Speed ya ku-bite ni kali mno.
Kuna mzee mmoja pale Msamvu anauza mawe ya kuvuta sumu ya nyoka, nadhani nitamshauri atembee na black au green mamba ili awe anatestisha then ndo aweke jiwe tuone ka linafanya kazi.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Majina yake ya kubatizwa ya kiswahili ni nani? ??!!!
koboko ndiyo huyo black mamba .
ana akiri sana
ana kula mti wa bhangi
ana ngata kichwa na shingo tuu
ana sumu kali
ana wika kama jogoo
aja wahi kutembeea kichwA chini yaani siku zote kichwa chake kipo juu kama kasimama vile
ana kwepa mawe
ana ruka kama panzi nk
Acha zako mkuu, black namba hawez kumeza hata mbuZi
Black na Green mamba ni kweli wote wana sumu kali sana lakini ni kati ya nyoka waoga na wapolea sana duniani,namaana gani?ni nadra sana kukutana na black mamba,yeye akikiuona anakukwepa,jificha au akimbie,otherwise umkanyage au umguse!...hawa kule moshi kipindi cha baridi wanakimbiliaga ndani ya nyumba,kama hamna tiles au carpet atajificha huko ndani na itakuwa nadra sana kumuona na anaweza toka akaishia zake hata baada ya miez bila nyie kujua,green mamba moshi ndio wako wengi,haswaa baada ya kilimo cha kahawa kuporomoka,yale madawa tuliyokuwa tunapiga shambani yalikuwa makali na nyoka walikuwa hawakai,lakini sasa hivi ikifika saa sita mchana upande mahali pa juu ili uione fensi yenu ya buganvilia kwa juu lazma umuone ''ISALE'' kama wachaga wanavyomuita,anafanana sana na majani na ukimuona dk,ya pili anakupotea,kuna jamaa alimkanyaga usiku black mamba akamuuma,hakufa,tulichukua wembe fasta tukamkata kidogo kidogo eneo alilongatwa alafu jamaa mmoja akavuta kwa mdomo kama mara ishirini ivi tukamuwaisha hospitali usiku ule kufika baada ya kama 2hours mguu umevimba kweli lakini alipona!...cha msingi ukiumwa na nyoka jitaidi kujua ni nyoka aina gani amekuuma sababu sumu zao zinatofautiana na tiba ni tofauti!
Mkuu we ndo unamfahamu vyema huyu nyoka maana umepita mulemule.
Hapo kwenye kuwika huwa ni usiku wa manane zaidi(hii ni kwa uzoefu wangu)
Wakati flani huko Zimbabwe Black Mamba alikua amekaa barabarani , huku akiwa ameachama mdomo, mdomo ulioanzia upana kutoka upande mmoja wa barabara hadi upande wa pili , gari Land-rover 110 likiwa safarini lilipofika hapo alipo nyoka , dreva alidhani kafika kwenye Tunel (njia ya chini kwa chini)
Akailengesha gari domoni mwa nyoka !
Na ndy gari ikawa imemezwa na wasafiri wake wa 5 (watu) haijawahi patikana gari wala watu!
Mwaka wa 10 sasa!
Mama Mdogo siji KATAVI Ng'oooo Niliwahi kusikia kuna mchoma mkaa mmoja aling'atwa na huyu nyoka huko huko kwenu akafa mara moja

Usiogope njoo tu, mbona sisi tuko na hatujadhurika!!
Koboko, ni kweli huwa anawika. Anakuwa kama anasema Kuwait, Kuwait.....
https://www.youtube.com/watch?v=HHt0ZiaSXo4
Green mambas wanapatikana sana huku kwetu!!!!wqnapenda sana kuishi karibu na maji hasa mito!!mara nyingi sana hupendelea kukaa kwenye miti ya kijani kwa ajili ya mawindo sanasana hupenda kukamata ndege!!!ni vigumu sana kumwona kulingana na rangi yake!!!Usipokuwa makini anaweza hata kukunga 'ata kichwa/shingo!!!!na hukawii kufa!!!!