ney kush
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,407
- 916
Mkuu wewe unafaa kuwa mwanasiasa.
Hahahahaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe unafaa kuwa mwanasiasa.
daah kumbe ni hatar kias hicho kuna siku nikiwa dodoma napga story chin ya mti wa maembe na washkaj Huyo nyoka akawa amedondoka kwny kiatu chang kutoka mtin mm sina habar nmekuja kushtuka washkaj wameshakimbia ila na yy mwnyw alikimbilia kwny majan,ni wa kijani kama majan ya mti afu mref hv,ila washkaj walinambia huwa hang'ati
Koboko ni aina gani ya nyoka?nadhani ndiye nyoka hatari kuliko njoka wengine wote anaishi kwwnye vichaka vilivyotulia na misitu yenye giza.yuko kundi lipi?
aki komaa zaidi anakuwa na ukucha kwenye mkia.
pia akikomaa zaidi magamba yake huwa yanatoa sauti akikimbia kwa sauti inakuwa kama chupa inayovunjika na pia ana uwezo wa kukaa kwenye paa la nyumba nje juu ya mlango kwa muda mrefu mpaka m2 amuone basi huyo atagongwa au itakuwa ni balaa lakini si kila mara
Kumbe huyo nyoka ndio black mamba nishawahi sikia habari zake,basi ni hatari sana.Ila huwa ninashangaa hiyo ya kuwika kama jogoo.
tafuta data you will know the truth
Nyoka huyu kaua sana kijijini kwetu.
Mkuu, bila utani, huyu nyoka hapendi kuishi sehemu walipo watu au wanyama wa kufugwa.
Sasa hiki kijiji chenu kinaonekana vipi? Kama vile nakiona kijiji chetu. Hapo kwetu Koboko Watoto wapo wengi ila Munu bariki hawauwi sana kama kwenu. Akishakuwa mkubwa anaanza kulia usiku "Kuwaiit, kuwaiit.....
"
Nini wafisu wa huyo mdudu?
Ana hatari gani?
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.