Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Black-Mamba-3.jpg
Hasa, shape ya hicho kichwa ni cha koboko(black mamba), one of the deadliest snakes in the world!
 
Jamani namuogopa huyu mdudu hatariiii!
Ila mbona hawa wa kwenye picha ni wanene tofauti na wengine?
Hua nasikia koboko ni wembamba na warefu sana.
 
Koboko ndiye mambas?
mtuma thread kakosea maana picha aliotuma ni black mamba na si koboko maana koboko(puff adder) hana tabia ya kutumia mkia kumove pia characteristic ya mamba huwa wana coffin shaped muzzle.
 
mtuma thread kakosea maana picha aliotuma ni black mamba na si koboko maana koboko(puff adder) hana tabia ya kutumia mkia kumove pia characteristic ya mamba huwa wana coffin shaped muzzle.

Mkuu puff ader si kifutu au ??? Nafikiri jamaa hajakosea koboko ndie black mamba ......
 
Na urefu huo utamuweza kweli mbaya zaidi ana uwezo wa kukugonga hata mara ishirini.Wewe mwanamke nyoronyoro ukimuona tu hoi

Thubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu
 
Koboko anasumu inatoharibu mishipa ya fahamu (neurotoxic). Akikugonga inabidi uwahishwe hospitali katika dakika 5. Baada ya hapo sumu inasimamisha kazi za ubongo , kisha unakosa hewa kwa sababu hutaweza kupumua kwa sababu ya kupararaizi. Koboko ni ishu
 
kifutu ni boomslang

th
huyu ndo kifutu yaani boomslang
DSCN4262.JPG
hawa ni puff adder ndo koboko
kaka unafahamu study za reptiles na amphibians?unafahamu classification na identification vizuri?tusije bishana kumbe mwenzangu haupo huku kaka.
 
huwa anakula nyoka wengine kama python??????
au python anamla huyo black mamba

huyu black mamba ni mfalme wa poli haliwi na chatu maana ana spidi kali japo nasikia adui yake ni Eagle na tumbili, hua hachomoki lazima aliwe
 
Thubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu
ahahahah..mwanamke unapenda mibolo wewe hatari.Huyo nyoka mimi ninae anaitwa twende kazi.Karibu
 
Mkuu puff ader si kifutu au ??? Nafikiri jamaa hajakosea koboko ndie black mamba ......

th
huyu ndo kifutu yaani boomslang
DSCN4262.JPG
hawa ni puff adder ndo koboko
kaka unafahamu study za reptiles na amphibians yaani herpetology?unafahamu classification na identification vizuri?tusije bishana kumbe mwenzangu haupo huku kaka.
 
Back
Top Bottom