masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Du...nishaogopa...sijui kama leo nitatoka nje...
njoo nikufiche
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du...nishaogopa...sijui kama leo nitatoka nje...
njoo nikufiche
Nitapitia wapi sasa....nitumie gari hadi mlangoni
nakuja kukubeba mgongoni
Watu au mifugo...
The black mamba, the most deadly snake in the world
Hasa, shape ya hicho kichwa ni cha koboko(black mamba), one of the deadliest snakes in the world!
Na urefu huo utamuweza kweli mbaya zaidi ana uwezo wa kukugonga hata mara ishirini.Wewe mwanamke nyoronyoro ukimuona tu hoiMhhh mbona namuona kama wa kawaida tu?
Akija napigana nae tu
shape ya jeneza.Hasa, shape ya hicho kichwa ni cha koboko(black mamba), one of the deadliest snakes in the world!
mtuma thread kakosea maana picha aliotuma ni black mamba na si koboko maana koboko(puff adder) hana tabia ya kutumia mkia kumove pia characteristic ya mamba huwa wana coffin shaped muzzle.Koboko ndiye mambas?
mtuma thread kakosea maana picha aliotuma ni black mamba na si koboko maana koboko(puff adder) hana tabia ya kutumia mkia kumove pia characteristic ya mamba huwa wana coffin shaped muzzle.
Mkuu puff ader si kifutu au ??? Nafikiri jamaa hajakosea koboko ndie black mamba ......
Na urefu huo utamuweza kweli mbaya zaidi ana uwezo wa kukugonga hata mara ishirini.Wewe mwanamke nyoronyoro ukimuona tu hoi
kifutu ni boomslang
huwa anakula nyoka wengine kama python??????
au python anamla huyo black mamba
ahahahah..mwanamke unapenda mibolo wewe hatari.Huyo nyoka mimi ninae anaitwa twende kazi.KaribuThubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu
Mkuu puff ader si kifutu au ??? Nafikiri jamaa hajakosea koboko ndie black mamba ......
ahahahah..mwanamke unapenda mibolo wewe hatari.Huyo nyoka mimi ninae anaitwa twende kazi.Karibu