Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Ana uwezo wa kuuwa watu 12 kwa sekunde chache tu, sio nyoka hata wa kumuota huyo ni balaa na very aggressive akikuona lazima akukimbize na ana speed sana, nilimuona akifukuza panya kwenye matuta yeye alikuwa anapita juu ya matuta imagine that

hilo balaa tena
 
Kweli mkuu, akikugonga unaanza kubadilika rangi. Huwezi kupumuq zaidi ya dk5...ni mdudu hatari sana
 
uzuri wa koboko usiku hawatembei .
kwa huku Tabora nyoka wanao onekana sana ni Koboko na Swila
 
hivi unaweza kupata medication/injection yeyote ya kuzuia sumu ya nyoka?

Kuna sindano ndio lakini mara nyingi zile huwa zinasaidia ikiwa umeng'atwa na nyoka wasio na sumu kali (house snake), kwa nyoka wenye sumu ni ngumu sana, labda uwekewe jiwe lile la kufyonza sumu (magic stone). Hata hivyo kwa Black/Green Mambas hakuna dawa kabisa!:banghead:
 
duhhhh inamaana hakuna dawa TAnzania au ni hakuna dunia nzima?
Akikung'ata huyu black mamba ujue it's a kiss of death unless ipatikane anti venom ya black mamba

inatisha kwa kweli .
 
Huyu nyoka nihatari sana, sikumoja nilikuwa nakwenda field na gari akasimama dede mbele yangu, nikafunga breki nakusubiri apunguze hasira na aendelee na safari. Busu la kifo huyo, akikubusu tu umekwenda!!
 
duhhhh inamaana hakuna dawa TAnzania au ni hakuna dunia nzima?

inatisha kwa kweli .

Dunia nzima dada.
Unless ipatikane anti venom ya huyo huyo black mamba na uhudumiwe as soon as possible.
Bila hivyo ni kiss of death😳😳
 
Huyu jamaa kamsikia koboko sijui black mamba anajitapa kwamba ameshindikana, hapa black mamba analiwa vizuri tu, tena kiulaini kama urojo wa kipemba.
 
Attachments

  • 1431320309228.jpg
    1431320309228.jpg
    16.1 KB · Views: 344
Huyu nyoka nihatari sana, sikumoja nilikuwa nakwenda field na gari akasimama dede mbele yangu, nikafunga breki nakusubiri apunguze hasira na aendelee na safari. Busu la kifo huyo, akikubusu tu umekwenda!!

Ulitumia akili sana, ungejaribu kumpitia huwa anajiviringisha kimya chini ya gari kwny chuma lolote lile, ukisimamisha gari unae!🙄
 
Hapa nyegere (honey badger) akijipatia kitoweo safi cha black mamba, siku imeenda uzuri kabisa.
 
Attachments

  • 1431321188598.jpg
    1431321188598.jpg
    12.5 KB · Views: 298
Hakuna kitu nagogopa kama nyoka aisee.. hata nikiona picha tu mwili husisimka
 
Dunia nzima dada.
Unless ipatikane anti venom ya huyo huyo black mamba na uhudumiwe as soon as possible.
Bila hivyo ni kiss of death����

Nimesoma kidogo hii website Black Mamba Facts
na wemesema kwamba antivenin ya black mamba ipo. Japokuwa haipatikani kirahisi
kwenye mazingira ambayo black mambo wanapatikana. Ngoja nitafute maelezo zaidi kuhusu hiyo antivenin.
 
Hapa nyegere (honey badger) akijipatia kitoweo safi cha black mamba, siku imeenda uzuri kabisa.

huyu mnyama ana courage ya ajabu sana akiamua kutuna hata simba hamsogelei. anapata chakula chake katika mazingira ya taabu sana i.e asali na nyoka japo katika mawindo yake hua anakosea step na kuuwawa na sumu ya nyoka.
 
Back
Top Bottom