Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unachanganya Swila na koboko,koboko hana muda huo wa kutematema yeye ni kugonga tu.Ukiwa mbali,anaweza kukutemea sumu.
Mkuu hivi swira huwa ndiye cobra au ni tofauti?Mkuu unachanganya Swila na koboko,koboko hana muda huo wa kutematema yeye ni kugonga tu.
Ni kweli anasikia vibrations ila siyo kweli kua akisikia vibrations za sina makosa atakuachiaMmmh ya kweli haya chief?
aanha hapo sawa.Ni kweli anasikia vibrations ila siyo kweli kua akisikia vibrations za sina makosa atakuachia
Swila ni Cobra pia nyoka hatari huwa anagonga hata ukiwa umelalaMkuu hivi swira huwa ndiye cobra au ni tofauti?
Hii hatari. Tuwekee picha mkuu!Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Swila- SPITTING COBRA
Wataalam wanamuuta Naja Negro huyu sio nyoka unayetaka ufungiwe nae chumba kimoja,atakuogesha na mate halafu kama una kidonda ndio basi tena.Swila- SPITTING COBRA
Hahaha anaruka mateke si mchezo halafu wanasayansi mbinu yake ya kumbamiza nyoka wanaiita centrifugal slam
Ndio huyohuyoTupiamo vipicha ili watu tumjue naona watu wanachanganya black mamba na koboko
Koboko asipovuta mpole ajabu.Hasa akiwa ametafuna bangi
Ukishamtoa venom glands kinachobakia ni mnofu tu ni kuutafutia unga.Sisi kwetu tukiwa wadogo tullikua tunapikiwa supu ya koboko kwa bokoboko