Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

aisee karate tena ...!? haha hahaa
Yaani ukimwangalia huyu ndege anavyopiga ni balaa
Please mwangalie YouTube
Halafu ni kiumbe katika viumbe wasiopata madhara na sumu ya nyoka
Ni mateke, kifuti hajakaa sawa kichwa yaani kama brother K alivyosema
20180505_161605.jpeg
20180505_161540.jpeg
20180505_161109.jpeg
 
Kuna ukweli kwa hili la bangi, maana juz tu tulikuwa pori Katavi mwenyeji wangu akasema huyu jamaa anapenda sana kutumia mmea huo
Inasemekana hivyo ila hakuna ushahidi wowote unao onyesha kitu kama hicho.
 
Hivi kuna tofauti kati ya nguchiro na Nyegele? (Honey badger) Kwa sababu ile niliyoona mimi ilikuwa Mamba vs Honey badger.

Tofauti ipo kubwa sana,
Nguchiro ni Mongoose na ni mwepesi sana hata koboko hagusi kabisa: Wanasema damu yake ina kemikali ambazo zinazuia sumu ya nyoka yoyote yule. Hivyo hata aking'atwa atadunda tu, hapa ndipo Umwogope Mungu. Tembo aking'atwa anakufa haraka lakini haka kajamaa kanadunda tu na kuzimia halafu baadae shughuli inaendelea kama kawaida.
 
Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
 
Watu wana story nyingi za uongo humu...

... Nguchiro sijawahigi kuelewa alivyoumbwa na Mungu.

Kiumbe wa ajabu sana. Nyoka kachezeshwa rede hadi kalegea...
 
Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
Eti anaenda kuwasimulia wenzie
Na wewe mtafiti haswa
 
Black mambas are fast, nervous, lethally venomous, and when threatened, highly aggressive. They have been blamed for numerous human deaths, and African myths exaggerate their capabilities to legendary proportions. For these reasons, the black mamba is widely considered the world's deadliest snake.
Wazungu bhana na Story zao za kutudanganya
 
Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
Hhahahahaaa....

Huu uzi umepotoshwa lengo lake..
 
Back
Top Bottom