Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni basi tu hua siongei kitu kama sina uhakika nachowachana na romanticized statics ...sisi wawindaji huku vijijini ndo tunajua shughuli ya huyo mzee.
Kuna ukweli kwa hili la bangi, maana juz tu tulikuwa pori Katavi mwenyeji wangu akasema huyu jamaa anapenda sana kutumia mmea huoPia koboko ndo mgunduzi namtumiaji mzuri wabangi
We mnyamwezi wa nyumbani kabisaKweli kiongozi ulikuwa Tabora tulikwendaga tukawakutaga wanakulaga ntalali ila HAWAPENDAGI nfulu.
HAWAPENDAGI =HUWA HAWAPENDELEI
Lakini takwimu zinasema anauwa zaidi ya nyoka wengine ni kafupi halafu kakorofiKweli mkuu yule ni nyoka koko
Yaani ukimwangalia huyu ndege anavyopiga ni balaaaisee karate tena ...!? haha hahaa
aisee...huyu kweli kama brother k ..duuhh "" cheki alivyo mfanya ...!! anaitwa nani huyu ?Yaani ukimwangalia huyu ndege anavyopiga ni balaa
Please mwangalie YouTube
Halafu ni kiumbe katika viumbe wasiopata madhara na sumu ya nyoka
Ni mateke, kifuti hajakaa sawa kichwa yaani kama brother K alivyosema View attachment 766844View attachment 766846View attachment 766847
Inasemekana hivyo ila hakuna ushahidi wowote unao onyesha kitu kama hicho.Kuna ukweli kwa hili la bangi, maana juz tu tulikuwa pori Katavi mwenyeji wangu akasema huyu jamaa anapenda sana kutumia mmea huo
Lakini takwimu zinasema anauwa zaidi ya nyoka wengine ni kafupi halafu kakorofi
Sana, mwezi wa tano ndiyo balaa.We mnyamwezi wa nyumbani kabisa
Mpukuswa nazo unazipenda
Mkuu kifutu hana haiba ya ukorofi
Hahahaha duu mpaka mwezi unaujuaSana, mwezi wa tano ndiyo balaa.
Hivi kuna tofauti kati ya nguchiro na Nyegele? (Honey badger) Kwa sababu ile niliyoona mimi ilikuwa Mamba vs Honey badger.
Tofauti ipo kubwa sana,
Nguchiro ni Mongoose na ni mwepesi sana hata koboko hagusi kabisa: Wanasema damu yake ina kemikali ambazo zinazuia sumu ya nyoka yoyote yule. Hivyo hata aking'atwa atadunda tu, hapa ndipo Umwogope Mungu. Tembo aking'atwa anakufa haraka lakini haka kajamaa kanadunda tu na kuzimia halafu baadae shughuli inaendelea kama kawaida.
Eti anaenda kuwasimulia wenzieHawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...
Hhahahahaaa....Hawa ni aina ya nyoka washari sana.... Yeye anaenda tu Ugomv. Unaweza ukawa unapita mbali naye una mishe mishe zako akikuona tu ana wewe.... Niwashari na kisirani hasa. Ndo furaha yao hiyo... Wanasema akikaa muda mrefu hajapata mnyama au mtu wa kumgonga anaweza gonga mti...hapo kidogo ndo anajisikia hasira zimepungua. Yaani tu wao hawana urafiki na wanapenda kumtizama mtu anavyokata roho... So anakugonga tu ili ufe basi roho yake inakuwa baridiii... Wana tabia na imani za kipuuzi hawa nyoka. Huwa nasikia wanashindana idadi ya wanyama na binadamu walioua... So anaweza ua haya 50 ndni ya mud mfupi.then anaenda kuwasimulia wenzie...