witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Koboko= black mambaNaomba mtuwekee picha ya Koboko na Kifutu na majina yao kwa kiingereza maana wengine mmetuacha Ubungo Mataa.
Kifutu= puff adder/ death adder
Si ndio imhotep?
Cc. imhotep
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koboko= black mambaNaomba mtuwekee picha ya Koboko na Kifutu na majina yao kwa kiingereza maana wengine mmetuacha Ubungo Mataa.
Puff adder na Death adder ni tofauti death adder anapatikana Australia.Kifutu= puff adder/ death adder
Mkuu Boomslang hana sumu/haui. Huyu amefanana na Green Mamba lakini ngozi yake ina madoa doa meusi mgongoni, hana sumu.Watu wengi hujidanganya kuwa huyu nyoka huwa hana sumu,lakini sio kweli huyu nyoka Boomslang ana sumu kali lakini yenye kuua polepole.kama akikun'ata asubuhi hutosikia dalili zozote mpaka usiku ndio ukilala huamki.View attachment 767836
Are you serious?!hana sumu.
Imhotep mzee wa koboko aliyekomaa njo apa uwashushie watu nondo ili wamfahamu koboko aliyekomaaaHuyu ndege anauwa vinyoka vidogo vidogo.
N a unaona tahadhari wanazochukua wale wazungu wakamata nyoka wa south mara wanapogundua nyoka wanaetaka kumkamata ni black mamba?Black mamba anakawaida ya kutoa tahadhari pindi pindi anapotambua umemuona kwa kutoa mlio mkali na huku akiachama mdomo wake mweusi kwa ndani, ukijifanya kupambana naye ndipo hapo utaona kizaa zaa, kuna wazungu kipindi fulana huwa wanakamata Wa kila aina akiwemo huyo black mamba katika channel ya nat geo wild huwa wanawaelezea sana tabia ya huyu nyoka mpaka aone unataka kupambana naye ndio na yeye anajibu mashambulizi
Kwni mchanga ukimwagia anapata madhara gani mkuu kwamba mchanga ndo siraha inayomdhuru sana au siajaelewa kiongoziNa ni mjanja sana akiona unainama anajua unachukua mchanga.. Anaondoka au anakujia kwa reverse... Sometime anajifanya ameondoka ila kwa mbali anakufutilia ukifika sehemu ina majani,udongo au hamna mchanga ndo anakuja mbele yko ssa ana kucheck kuwa ssa hauna mchanga unasemaje....hapo atakugonga kama mara 100 hivi maana anakuwa na hasira zaidi coz ulitaka mmwagia mchanga...
Boomslang Ana sumu kali sana mkuu na yupo kwenye top ya nyoka wabayaMkuu Boomslang hana sumu/haui. Huyu amefanana na Green Mamba lakini ngozi yake ina madoa doa meusi mgongoni, hana sumu.
Huyu nyoka huwang'ata watu hasa anapokua mdogo kidogo watu hufikiria ni yule nyoka wa kijani ambaye hana sumu.huyu nyoka sio mkorofi wala havizii watu anahangaika na maisha yake tu
Post#519 waibhonye?!N a unaona tahadhari wanazochukua wale wazungu wakamata nyoka wa south mara wanapogundua nyoka wanaetaka kumkamata ni black mamba?
Sawasawa kabisa mkuuPost#519 waibhonye?!
Ukisoma hiyo article utagundua kua huyo mwanafunzi kama angesema mapema pengine asingepoteza maisha kwani angelipata tiba mapema.A Buckinghamshire student training to be a safari guide in South Africa died after being bitten by a black mamba snake, an inquest has heard.
Nathan Layton, 28, from Wing, was bitten as he was putting the snake in a glass jar at the Wildlife College in Hoedspruit in March 2008.
The inquest in Dunstable, Bedfordshire, heard that Mr Layton had not realised he had been bitten.
In a narrative verdict, coroner David Morris said it was "a great tragedy".
The snake had been spotted in a corridor at the college close to a classroom.
Because it was in a location where students would be passing, arrangements were made to remove it.
A member of staff put it in a plastic box and Mr Layton then helped instructor Nellie De Kock to put it in a glass jar.
In a statement, Ms De Kock said that at no point was she aware the snake had bitten Mr Layton, though he did say the snake had brushed against him.
She said about an hour later Mr Layton complained of blurred vision and a few seconds later he collapsed on the floor.
He suffered a cardiac arrest and was pronounced dead at the scene.
A post-mortem examination revealed that he had died from snake bite poisoning.
Mr Layton and his girlfriend had left the UK in January 2008 to go on the year-long course.