imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Koboko yeye sio kila wakati ni kugonga na kukimbiza watu kuna kipindi naye huhitaji privacy.Hiyoo sura daaaah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koboko yeye sio kila wakati ni kugonga na kukimbiza watu kuna kipindi naye huhitaji privacy.Hiyoo sura daaaah!
alipata but cku yke ya kuish ilfka ukingnHuyu huyu koboko?
Hakupata first aid?
Jamaani[emoji24]alipata but cku yke ya kuish ilfka ukingn
hapo Ni maeneo ya wapi?View attachment 773280
Koboko akikatiza barabara.
Jamaa kwenye blog yake ameandika ni Akagera National Park Rwanda.hapo Ni maeneo ya wapi?
nyumbani msasani kila wakati lazima aonekane sababu pana miti mingi hupendelea miti wakati mungine anajaribu kuingia ndani ya nyumbaGrèen Mamba akijipatia mlo wake.
View attachment 772797
ok hapa inawezekana wanyarwanda wanavutia utalii WA nyoka waoJamaa kwenye blog yake ameandika ni Akagera National Park Rwanda.
Hujasema ulipokutana nae ulifanyaje, mana umeishia kuita fimboTatizo wengi humu ni wanaume wa Dar wanaogopa hata mende
Labda niwafundishe tu kitu kimoja,
Nyoka ukitaka kumuua mpige sehemu yoyote ile hata mkiani, yaani ukishampiga tu ataanza kujibiringisha sababu ya maumivu,
Na hapo ndo unapopaswa kuendeleza mashambulizi,
Huyu KOBOKO kwetu Tunamwita KISANGA na hata Wamasai wakisikia tu hilo jina basi wataanzisha harakati za kumuwinda, wasipomuua ndani ya siku mbili au tatu basi lazima wahame,
Na hao mnaowaita KIFUTU si kwetu tunawaita MOMA hawa bwana kuwakuta ndani ya Nyumba yako ni kitu cha kawaida haswa majira ya Kiangazi, utakuta ukifungua mlango tu ili uingie ndani kama ni usiku au mchana lazima akukaribishe ndani, utasia FOOOOOO, Hapo unajua ndani kuna ugeni, ili kujua eneo alipo wee utaendelea kufuata hiyo sauti maana akihisi unamkaribia na yeye anazidi kufoka, hivyo hapo kuna mawili,
Umtimue atoke nje (kwa kuchoma Chumvi ya mawe kwenye moto) au umuue
Ila ukweli hawa KOBOKO ni hatari sana maana siku hiyo nakumbuka nilikuwa napita tuu njiani nikakutana nae na yeye alikuwa anavuka kuniona badala ya kuendelea na safari yake akasimama yaani kaziba njia kabisa hakuna kupita, nikaagiza ikabidi nimwambie dogo lete Fimbo
Kuna mwingine alikuwa anakuja kuuza dawa za nyoka ye alikuwa anakuja na KOBOKO
Katika NYOKA wote aliokuwa nao huyo ndo alikuwa hamtoi ovyo maana nakumbuka kuna siku ile kumtoa tu akaanza kutoka nduki kilichosaidia aliwahi kumdaka,huyu jamaa watu tulimnyooshea mikono, maana hatujui yule mdudu kamkamata vipi na kamtoaje sumu maana mziki wake sio wa kitoto
Umefaanua vizuri1. Poisons work their deadly magic through touch, ingestion, or inhalation, hizi ni kama hizi sumu za panya ukila unakufa.
2. Venoms are injected directly into a wound. Hii inaingizwa direct kwenye mishipa ya damu au kidonda.
Huwa wanakuwa warefu na wanene kuliko huyo.ok hapa inawezekana wanyarwanda wanavutia utalii WA nyoka wao
mrefu Sana huyu anaweza kuwa mita 4
Nadhani swali lilikuwa tafsiri ya venom kiswahili.Umefaanua vizuri
ALIKUFUATA KWA SABABU KULIKUWA NA VIASHIRIA VYA KUMTAKA KUMDHURU MIMI NIMESHA KUTANA NAE MARA NYINGI SANA THERE IS THE WAY OF BEEN CONTACT WITH IT BROTHER WETHER YOU LIKE OR NOT,Kwa wale wanaosema Koboko ni mpole
I visited Ndumo Game Reserve between Christmas and New Year this year.
There is a lookout hide near the main gate. It is a great place to look across the reserve and into Mozambique. The hide is set amongst trees about 8 metres off the ground. It is accessed by the set of stairs. I entered the hide fist followed by my wife and 2 daughters.
I walked passed the first bench and then the movement on the floor attracted my attention. The snake was the length of the width of the hide, (2 m) I told my family to get out and I slowly started to move backwards towards the door. The snake started to move towards me, not away as I had expected. I must have been within 2 m of the grey snake. It then lifted it's head and opened it's mouth and it was black on the inside. I continued towards the door and it still moved towards me. When I got out I ran down the stairs towards the Landy.
When I told the camp rangers of the incident, they laughed as if to say, "We know it is there".
Needless to say, my family was not interested in going into another bird hide.
Hatari sanaHiyoo sura daaaah!
Tunasubiri mkuu, maana wengine tuko sambamba na huu uzi tokea mwanzoNimesoma comment moja baada ya nyingine..
Nitakuja kusimulia nilivyokutana nae na nilivyokiepuka kifo..
Meonaa eehTunasubiri mkuu, maana wengine tuko sambamba na huu uzi tokea mwanzo
Kabisa yaaniMeonaa eeh