Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hiyoo sura daaaah!
Koboko yeye sio kila wakati ni kugonga na kukimbiza watu kuna kipindi naye huhitaji privacy.
Black-mamba-pair-displaying-and-mating-in-African-bush-habitat.jpg
 
Tatizo wengi humu ni wanaume wa Dar wanaogopa hata mende

Labda niwafundishe tu kitu kimoja,
Nyoka ukitaka kumuua mpige sehemu yoyote ile hata mkiani, yaani ukishampiga tu ataanza kujibiringisha sababu ya maumivu,


Na hapo ndo unapopaswa kuendeleza mashambulizi,

Huyu KOBOKO kwetu Tunamwita KISANGA na hata Wamasai wakisikia tu hilo jina basi wataanzisha harakati za kumuwinda, wasipomuua ndani ya siku mbili au tatu basi lazima wahame,

Na hao mnaowaita KIFUTU si kwetu tunawaita MOMA hawa bwana kuwakuta ndani ya Nyumba yako ni kitu cha kawaida haswa majira ya Kiangazi, utakuta ukifungua mlango tu ili uingie ndani kama ni usiku au mchana lazima akukaribishe ndani, utasia FOOOOOO, Hapo unajua ndani kuna ugeni, ili kujua eneo alipo wee utaendelea kufuata hiyo sauti maana akihisi unamkaribia na yeye anazidi kufoka, hivyo hapo kuna mawili,

Umtimue atoke nje (kwa kuchoma Chumvi ya mawe kwenye moto) au umuue

Ila ukweli hawa KOBOKO ni hatari sana maana siku hiyo nakumbuka nilikuwa napita tuu njiani nikakutana nae na yeye alikuwa anavuka kuniona badala ya kuendelea na safari yake akasimama yaani kaziba njia kabisa hakuna kupita, nikaagiza ikabidi nimwambie dogo lete Fimbo

Kuna mwingine alikuwa anakuja kuuza dawa za nyoka ye alikuwa anakuja na KOBOKO

Katika NYOKA wote aliokuwa nao huyo ndo alikuwa hamtoi ovyo maana nakumbuka kuna siku ile kumtoa tu akaanza kutoka nduki kilichosaidia aliwahi kumdaka,huyu jamaa watu tulimnyooshea mikono, maana hatujui yule mdudu kamkamata vipi na kamtoaje sumu maana mziki wake sio wa kitoto
Hujasema ulipokutana nae ulifanyaje, mana umeishia kuita fimbo
 
1. Poisons work their deadly magic through touch, ingestion, or inhalation, hizi ni kama hizi sumu za panya ukila unakufa.

2. Venoms are injected directly into a wound. Hii inaingizwa direct kwenye mishipa ya damu au kidonda.
Umefaanua vizuri
 
Kwa wale wanaosema Koboko ni mpole

I visited Ndumo Game Reserve between Christmas and New Year this year.

There is a lookout hide near the main gate. It is a great place to look across the reserve and into Mozambique. The hide is set amongst trees about 8 metres off the ground. It is accessed by the set of stairs. I entered the hide fist followed by my wife and 2 daughters.

I walked passed the first bench and then the movement on the floor attracted my attention. The snake was the length of the width of the hide, (2 m) I told my family to get out and I slowly started to move backwards towards the door. The snake started to move towards me, not away as I had expected. I must have been within 2 m of the grey snake. It then lifted it's head and opened it's mouth and it was black on the inside. I continued towards the door and it still moved towards me. When I got out I ran down the stairs towards the Landy.

When I told the camp rangers of the incident, they laughed as if to say, "We know it is there".

Needless to say, my family was not interested in going into another bird hide.
ALIKUFUATA KWA SABABU KULIKUWA NA VIASHIRIA VYA KUMTAKA KUMDHURU MIMI NIMESHA KUTANA NAE MARA NYINGI SANA THERE IS THE WAY OF BEEN CONTACT WITH IT BROTHER WETHER YOU LIKE OR NOT,
 
Pia upo usandawezi wilayani chemba mkoa wa dodoma

Acha kabisa, huyu nyoka ni mshali na ana bisasi sana.
 
Nimesoma tokea mwanzo wengi mmetoa ushuhuda wa black mamba bite ila hakuna hata mmoja aliye toa somo la endapo uking'atwa first unatakiwa ufanye nini ili poison isiendelee kusambaa mwilini shame on you wakuu
 
Back
Top Bottom