Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Vipers wanauwezo wa kuona kwenye giza kwa kutumia thermal profile ya mnyama yoyote anayetoa joto,kwa kutumia matundu yaliyoko mbele ya vichwa vyao.
news.2010.122.mouse.jpg

Panya.

snake-vision.jpg

Binaadamu.
 
3932420-1.jpg

Ukiangalia vizuri chini ya pua kidogo utaona matundu na hayo matundu ni moja ya maajabu ya uumbaji wa mungu.
 
Haya mambo bwana sometimes hua ni mungu tu...
Kuna kisa kimoja niliambiwa na jamaa akiwa ni muhanga mwenyewe wa bite ya koboko...Aliniambia ni tukio ambalo hawezi kulisahau katika maisha yake yote yaliobaki. Kwa wenyeji wa mkoa wa katavi watakua wanajua barabara ya kutoka mpanda kwenda tabora kupita inyonga, sasa jamaa alinipa mkasa huu...
Yeye jamaa alikua ni dreva ya gari za halimashaur ya wilaya ya mpanda kuna siku alikua na safari ya kutoka mpanda kwenda inyonga kikazi wakiwa wawili ndani ya gar,kwa bahati mbaya akiwa njiani polini alibanwa na haja tena ikiwa ni haja kubwa ikabidi apaki gari aende akachimbe dawa si unajua bwana masuala ya kuchimba dawa shurti uingie kidogo msituni,basi jamaaa akaingia ndani kidogo kama meter 15 kutoka alipopaki gari akafika chini ya mti akachimba dawa kama kawa sasa huo mti haukua mrefu kivile according to him...
Mheshimiwa dreva alipomaliza kuchimba kwa desturi yake akatakata mti ili kidogo asitiri ule mzigo aliouacha chini,sasa kile kitendo cha kukata mti ile anauvuta ili ukatike anakwambia aliona kitu kinashuka kwa kasi ya ajabu kama dreamliner kikampa bite ya kwenye kiganja cha mkono kwa nyuma anakwambia ni kama alisikia short ya umeme ilibidi akurupuke hadi hadi kwenye gari...akamwambia jamaa yake kua ameng'atwa na nyoka ila kwa taarifa yke hakujua kama ni koboko ila alimwona jinsi alivyokua..
Basi anasema alivyofika kwenye gari alikua akisikia ovyo sana jasho likimtoka maumivu makali sana na kwenye mkono na baada kama ya dk 5 alianza kusikia kizunguzungu na kutoona vizur ikabidi yule aliekua nae kwenye gari aendeshe hilo gari..
Anasema mungu mkubwa pale alipokula busu la koboko hapakua mbali sana na kijiji jirani na anasema ukitoka hicho kijiji unatembea kama dk 45 ndo unaingia inyonga mjini..
Basi baada ya hapo ikabidi yule swaiba aendeshe ile gari kama mwendo wa dk 10 hadi hicho kijiji..kilichokua kinaendelea hakumbuki ila alihadithiwa na yule jamaaa kwamba ilibidi waombe msaada kile kijiji cha jirani na alivyowambia kua mwenzake ameng'atwa na nyoka wakampeleka kwa mzee mmoja ni almaarufu kwa tiba ya nyoka kijiji hicho.Alivyofika na kueleza alipopatia tukio ilo yule mzee alimwambia pale kuna nyoka wengi sana aina ya koboka na yeye anabahati sana kwasababu alikua na gari...
Anakwambia alipakwa majani flani na kunywa majani flan ambayo hata hayakumbuki japo alionesha alivyopata nafuu.
Huyo ndo black mamba...
Alichosahau kiniambia sijui kama alijichamba au alikimbia na mzigo unanuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanadamu kagundua sasa hivi wakati nyoka walikuwa wanaitumia kwa mamilioni ya miaka.
DM-14-5-1.jpg
 
Nyoka huwa hawasikii ladha ya msosi wanaoula ila wao ni kumeza tu ili wasife.
 
Yan nawewe umekubali kulishwa pombe haramu koboko hafananishwi naujinga eti koboko anapatkana kila sehem! unazan huyu mjusi eeh
Unajua Koboko waliokomaa sii rahisi kuwaona ila labda iwe bahati halafu kama simu ina kamera nzuri basi na ufunge vioo vya gari halafu weka Video anza kurekodi wala usipanic halafu usikimbilieà You tube kuna watu wananunua kwa fedha nzuri,koboko aliyekomaa ni fedha.
 
Mimi naona inawezekana waganga hutumia sumu ya koboko kwa ajili ya kuchukua misukuke.
 
DSCF0009-Copy-2.jpg

Koboko akiandaliwa kukamuliwa sumu kwa ajili ya kutengeneza antivenom.
 
Haya mambo bwana sometimes hua ni mungu tu...
Kuna kisa kimoja niliambiwa na jamaa akiwa ni muhanga mwenyewe wa bite ya koboko...Aliniambia ni tukio ambalo hawezi kulisahau katika maisha yake yote yaliobaki. Kwa wenyeji wa mkoa wa katavi watakua wanajua barabara ya kutoka mpanda kwenda tabora kupita inyonga, sasa jamaa alinipa mkasa huu...
Yeye jamaa alikua ni dreva ya gari za halimashaur ya wilaya ya mpanda kuna siku alikua na safari ya kutoka mpanda kwenda inyonga kikazi wakiwa wawili ndani ya gar,kwa bahati mbaya akiwa njiani polini alibanwa na haja tena ikiwa ni haja kubwa ikabidi apaki gari aende akachimbe dawa si unajua bwana masuala ya kuchimba dawa shurti uingie kidogo msituni,basi jamaaa akaingia ndani kidogo kama meter 15 kutoka alipopaki gari akafika chini ya mti akachimba dawa kama kawa sasa huo mti haukua mrefu kivile according to him...
Mheshimiwa dreva alipomaliza kuchimba kwa desturi yake akatakata mti ili kidogo asitiri ule mzigo aliouacha chini,sasa kile kitendo cha kukata mti ile anauvuta ili ukatike anakwambia aliona kitu kinashuka kwa kasi ya ajabu kama dreamliner kikampa bite ya kwenye kiganja cha mkono kwa nyuma anakwambia ni kama alisikia short ya umeme ilibidi akurupuke hadi hadi kwenye gari...akamwambia jamaa yake kua ameng'atwa na nyoka ila kwa taarifa yke hakujua kama ni koboko ila alimwona jinsi alivyokua..
Basi anasema alivyofika kwenye gari alikua akisikia ovyo sana jasho likimtoka maumivu makali sana na kwenye mkono na baada kama ya dk 5 alianza kusikia kizunguzungu na kutoona vizur ikabidi yule aliekua nae kwenye gari aendeshe hilo gari..
Anasema mungu mkubwa pale alipokula busu la koboko hapakua mbali sana na kijiji jirani na anasema ukitoka hicho kijiji unatembea kama dk 45 ndo unaingia inyonga mjini..
Basi baada ya hapo ikabidi yule swaiba aendeshe ile gari kama mwendo wa dk 10 hadi hicho kijiji..kilichokua kinaendelea hakumbuki ila alihadithiwa na yule jamaaa kwamba ilibidi waombe msaada kile kijiji cha jirani na alivyowambia kua mwenzake ameng'atwa na nyoka wakampeleka kwa mzee mmoja ni almaarufu kwa tiba ya nyoka kijiji hicho.Alivyofika na kueleza alipopatia tukio ilo yule mzee alimwambia pale kuna nyoka wengi sana aina ya koboka na yeye anabahati sana kwasababu alikua na gari...
Anakwambia alipakwa majani flani na kunywa majani flan ambayo hata hayakumbuki japo alionesha alivyopata nafuu.
Huyo ndo black mamba...
Alichosahau kiniambia sijui kama alijichamba au alikimbia na mzigo unanuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha hahahaha alitoka ma kinyesi chake nyuma[emoji23] [emoji23]
 
4879115866_cc418c2394_b.jpg

Meno ya Koboko yameangalia chini halafu yako mbele kuliko nyoka wengine,ili iwe rahisi kugonga mara nyingi.
 
Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Ulipika sadaka mkuu[emoji23][emoji23]
maana imagine colora ingezima
 
Huyu nyoka mdogo kala mlo wa Tandu mkubwa, baada ya kummeza Tandu,Tandu akaanza kumla nyoka kwa ndani hadi akatoboa na kutoka lakini wote walikufa.
downloadfile-1.jpg
 
Huyu alimuuwa mdada mmoja mrembo sana huko tabora akiwa bustanini yaan nyie muogopen huyo kiumbe hata ukikutana nae sali sala zako au piga simu kwenu chap uwaage waikute maiti yako
 
Back
Top Bottom