Baba Kendrick1
Member
- May 11, 2018
- 35
- 30
anakula kaya huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nilisikia pia sehemuKuna sehemu nimesoma Koboko ndio aliwaua sana Wajerumani enzi za mashamba ya mikonge mpaka wakawa wanafikiri ni nyoka wa mizimu ya kiafrika.
Acha wivu nakujifanya mjuaji jamaa mambo yote alosema kaleta ushahid leta ushahid nawew sio debetupuWe muongo sana, nilikuwa nakuamini mwanzo
Yan nawewe umekubali kulishwa pombe haramu koboko hafananishwi naujinga eti koboko anapatkana kila sehem! unazan huyu mjusi eehNakubali
Tatizo hakuna ushahidi unao onyesha Koboko akinyonga joint.anakula kaya huyu
Unajua Koboko waliokomaa sii rahisi kuwaona ila labda iwe bahati halafu kama simu ina kamera nzuri basi na ufunge vioo vya gari halafu weka Video anza kurekodi wala usipanic halafu usikimbilieà You tube kuna watu wananunua kwa fedha nzuri,koboko aliyekomaa ni fedha.Yan nawewe umekubali kulishwa pombe haramu koboko hafananishwi naujinga eti koboko anapatkana kila sehem! unazan huyu mjusi eeh
Ha hahahaha alitoka ma kinyesi chake nyuma[emoji23] [emoji23]Haya mambo bwana sometimes hua ni mungu tu...
Kuna kisa kimoja niliambiwa na jamaa akiwa ni muhanga mwenyewe wa bite ya koboko...Aliniambia ni tukio ambalo hawezi kulisahau katika maisha yake yote yaliobaki. Kwa wenyeji wa mkoa wa katavi watakua wanajua barabara ya kutoka mpanda kwenda tabora kupita inyonga, sasa jamaa alinipa mkasa huu...
Yeye jamaa alikua ni dreva ya gari za halimashaur ya wilaya ya mpanda kuna siku alikua na safari ya kutoka mpanda kwenda inyonga kikazi wakiwa wawili ndani ya gar,kwa bahati mbaya akiwa njiani polini alibanwa na haja tena ikiwa ni haja kubwa ikabidi apaki gari aende akachimbe dawa si unajua bwana masuala ya kuchimba dawa shurti uingie kidogo msituni,basi jamaaa akaingia ndani kidogo kama meter 15 kutoka alipopaki gari akafika chini ya mti akachimba dawa kama kawa sasa huo mti haukua mrefu kivile according to him...
Mheshimiwa dreva alipomaliza kuchimba kwa desturi yake akatakata mti ili kidogo asitiri ule mzigo aliouacha chini,sasa kile kitendo cha kukata mti ile anauvuta ili ukatike anakwambia aliona kitu kinashuka kwa kasi ya ajabu kama dreamliner kikampa bite ya kwenye kiganja cha mkono kwa nyuma anakwambia ni kama alisikia short ya umeme ilibidi akurupuke hadi hadi kwenye gari...akamwambia jamaa yake kua ameng'atwa na nyoka ila kwa taarifa yke hakujua kama ni koboko ila alimwona jinsi alivyokua..
Basi anasema alivyofika kwenye gari alikua akisikia ovyo sana jasho likimtoka maumivu makali sana na kwenye mkono na baada kama ya dk 5 alianza kusikia kizunguzungu na kutoona vizur ikabidi yule aliekua nae kwenye gari aendeshe hilo gari..
Anasema mungu mkubwa pale alipokula busu la koboko hapakua mbali sana na kijiji jirani na anasema ukitoka hicho kijiji unatembea kama dk 45 ndo unaingia inyonga mjini..
Basi baada ya hapo ikabidi yule swaiba aendeshe ile gari kama mwendo wa dk 10 hadi hicho kijiji..kilichokua kinaendelea hakumbuki ila alihadithiwa na yule jamaaa kwamba ilibidi waombe msaada kile kijiji cha jirani na alivyowambia kua mwenzake ameng'atwa na nyoka wakampeleka kwa mzee mmoja ni almaarufu kwa tiba ya nyoka kijiji hicho.Alivyofika na kueleza alipopatia tukio ilo yule mzee alimwambia pale kuna nyoka wengi sana aina ya koboka na yeye anabahati sana kwasababu alikua na gari...
Anakwambia alipakwa majani flani na kunywa majani flan ambayo hata hayakumbuki japo alionesha alivyopata nafuu.
Huyo ndo black mamba...
Alichosahau kiniambia sijui kama alijichamba au alikimbia na mzigo unanuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulipika sadaka mkuu[emoji23][emoji23]Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?