Kocha Al Ahl: We will play against Yanga and Madeama like never before

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
images (1).jpeg
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach

My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
 
Like never before wewe umeielewaje? Anamaanisha ataweka kikosi legelege ambacho kitacheza mchezo ambao hamjawah kuuona yaani mchezo wa hovyo like never before
 
View attachment 2907974
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach

My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.

Al Ahly akishinda game yake na Medeama atarelax, itakuwa mbaya kwa Yanga endapo Ahly hatapata matokeo mazuri kwenye hiyo game...
 
View attachment 2907974
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach

My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
Sasa huyo tutapiga kama ngoma,na pia myonge wetu mediama anawapelekea msiba,wewe ujiandae tu na maziko🫠
 
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach

My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
Kama wewe ndio umechangia basi Aly ahly Awana Chao mbele ya yanga, wewe ni bingwa wa kuferi na utaferi pia kwa mara nyingine!
 
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach

My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
Uzi wowote unaoanzishaga hapa jukwaani unaohusu Yanga mara nyingi unakutoaga machozi wewe mwenyewe na unaukimbiaga
 
Kunitoa machozi? Yaani wewe huyu bwege anachukulia stori za SY humu serious sana. Unatumia akili gani kuona connection kati yangu na Al Ahl?
 
Natamani Yanga amfunge CRB, Med afungwe na Al hly kisha Med afungwe CRB na Yanga afungwe na Al hly. Kuna wanaYanga lialia napenda kuwaona wakianza hesabu za calculator wakiwa busy kama wanajaza fomu za mkopo.
 
Naona hesabu za Yanga zinafikiriwa zaidi kuliko hesabu za timu yenu. Uzuri ni kwamba Simba ndiye anayetangulia kucheza tarehe 23. Huku Wydad wakiaangalia nini kitakachijili. Kama Simba watafungwa na Asec huku Wydad akishinda dhidi ya Galaxy basi huenda safari ya Simba ikaishia hapo. Simba anahitaji sare ili wafuzu kwa kutegemeana mechi ya Dar watashinda.

Yanga wao wataangalia matokeo ya Medeama vs Al Ahly itakayocheza tarehe 23 kisha itawapa taswira yao wanatakiwa kufanya nini. Kama Al Ahly atashinda basi Yanga wanaweza wakaamua kupambana wamalize biashara hapo hapo Dar kwa kuhahakikisha wanapata goli 4 kwa bila. Kama atashindwa hilo basi apate ushindi na kusubiri hadi raundi ya sita itoe majibu kwa kutafuta matokeo Misri.
 
Naona hesabu za Yanga zinafikiriwa zaidi kuliko hesabu za timu yenu. Uzuri ni kwamba Simba ndiye anayetangulia kucheza tarehe 23. Huku Wydad wakiaangalia nini kitakachijili. Kama Simba watafungwa na Asec huku Wydad akishinda dhidi ya Galaxy basi huenda safari ya Simba ikaishia hapo. Simba anahitaji sare ili wafuzu kwa kutegemeana mechi ya Dar watashinda.
Iwapo Simba itafungwa ni kweli tutahuzunika ila hilo halifuti burudani za kuwaona wanayanga wakipiga yale mahesabu ya vidole ya tumfunge huyu 4, halafu yule afungwe, kisha huyu adroo labda tutapita halafu wasipite.
Kama Al Ahly atashinda basi Yanga wanaweza wakaamua kupambana wamalize biashara hapo hapo Dar kwa kuhahakikisha wanapata goli 4 kwa bila. Kama atashindwa hilo basi apate ushindi na kusubiri hadi raundi ya sita itoe majibu kwa kutafuta matokeo Misri.
Kama hivi yaani. Hahaha
 
Back
Top Bottom