Inahitajika kocha wa aina hii mwenye msimamo. Watz tumezoea kutozingatia muda.angekuwa mchezaji mmoja sawa lakini angalia idadi ya wachezaji...bora angewapa adhabu ya kujenga na sio ya kubomoa...tatizo lake haelewi siasa za mpira wa miguu...
Mkuu, ratiba lazima iendane na kanuni za FIFA. Kuna minimum time ya kuwaruhusu. Lakini club ikiwa radhi wanawahi.Mbona wakati akitangaza kikosi alisema wachezaji wote anawahitaji Septemba mosi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo hapo September 8 dhidi ya Uganda.
Ratiba gani hiyo? Chilunda, Himid, Banda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi ni kiwango cha kutandaza kandanda, hayo mengine ni mbwembwe tu. Kuna wachezaji watukutu duniani lakini makocha walienda nao hivyo hivyo kwa kutambua mchango wao. Edmundo, Romario na Baloteli ni mfano tu wa wachezaji wasio na nidhamu ndani na nje ya uwanja, yaani red card ni muda wowote! Lakini hasara ya kuwakosa kikosini ni kubwa kuliko kuwa nao, na ndio maana makocha walikuwa wanawatumia hivyo hivyo kwenye vikosi vyao. Sasa itakuwa hawa waliochelewa kufika kambini, ukizingatia siku waliyotakiwa kuripoti kambini walikuwa na mechi iliyoisha saa 2.00 usiku! Mbona kambi bado inasubiri wachezaji kibao tu, watano waliopo Kigali na Yanga, akina Samata, Msuva, Ulimwengu, Banda, Farid, Chilunda na Mandawa, wote hao wapo nje bado hawajafika, eti unawafukuza wachezaji waliomaliza mechi saa 2 usiku !acha hizo ushindi ni pamoja na nidhamu na sio kuijiona bila wewe timu haifiki kokote
kuna mmoja alichelewa dakika moja akatimuliwa lakini baadae alifunguliwa mlango akaingia naamini na hawa pia wataruhusiwaPomoja na hivyo mkuu, kumbuka akina Chilunda, Samatta, Mao, Msuva, Banda..Hawajaripoti na wachezaji wa Simba sio kwamba wamegoma wamechelewa tena masaa.
Tuangalie na upande wa pili, hiyo imo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amekosea kabla hajaanza!
Namsikitikia sana.
Atalijua kosa lake atakaponyunyiziwa mvua ya magoli na timu dhaifu kabisa!!
Hii misimamo mingine ni chumbani haifai sebuleni.
Thubutuuuu..Waziri Lugola atawashughurikia mkikosa uzalendoKocha anatuchokoza huyu sasa subiri tutaendelea kuzomea taifa stars
Timu ya taifa wachezaji wakiitwa lazima wapewe na posho za kuwafikisha kambini hilo halijazingatiwa kocha anakurupuka tu
Day one failure
[emoji106]Ushindi ni kiwango cha kutandaza kandanda, hayo mengine ni mbwembwe tu. Kuna wachezaji watukutu duniani lakini makocha walienda nao hivyo hivyo kwa kutambua mchango wao. Edmundo, Romario na Baloteli ni mfano tu wa wachezaji wasio na nidhamu ndani na nje ya uwanja, yaani red card ni muda wowote! Lakini hasara ya kuwakosa kikosini ni kubwa kuliko kuwa nao, na ndio maana makocha walikuwa wanawatumia hivyo hivyo kwenye vikosi vyao. Sasa itakuwa hawa waliochelewa kufika kambini, ukizingatia siku waliyotakiwa kuripoti kambini walikuwa na mechi iliyoisha saa 2.00 usiku! Mbona kambi bado inasubiri wachezaji kibao tu, watano waliopo Kigali na Yanga, akina Samata, Msuva, Ulimwengu, Banda, Farid, Chilunda na Mandawa, wote hao wapo nje bado hawajafika, eti unawafukuza wachezaji waliomaliza mechi saa 2 usiku !
Nimekuelewa vilivyo mkuukuna mmoja alichelewa dakika moja akatimuliwa lakini baadae alifunguliwa mlango akaingia naamini na hawa pia wataruhusiwa
😁
Dalili za mvua ni Mawingu...huyo kocha kashindwa day one tayari...yeye alivyokuwa timu ya taifa ya Nigeria akichezea vitimu vya "chokochokoroni" wakati akiwahi kambini huku wakina Finidi Geogre na Kanu wakichelewa kambini kutokea Ulaya..walifkuzwa? huyu hatufai tayari
Acha ushabiki wa ajabu kama sababu zao hazina mashiko wachukuliwe hatua tu!Dalili za mvua ni Mawingu...huyo kocha kashindwa day one tayari...yeye alivyokuwa timu ya taifa ya Nigeria akichezea vitimu vya "chokochokoroni" wakati akiwahi kambini huku wakina Finidi Geogre na Kanu wakichelewa kambini kutokea Ulaya..walifkuzwa? huyu hatufai tayari
Wachezaji bado kufika. Wengine hata tiketi hawajapata. Kwa ujumla hakukuwa na haraka ya kivileKuna uwezekano akili yako haikufai, kwanini wengine wawai kufika hao ndio walete kiburi? Au kwavile wanacheza Simba?