Kocha Amunike awaondoa wachezaji wa Simba Taifa Stars kwa kuchelewa kuripoti kambini

Kabla ya kuchukua maamuzi magumu kama haya, ni vizuri kufanya tathmini ya risk, japo nakiri wazi Mimi kitaaluma siyo kocha wa mpira, lakini naziona risk 2 mbili kubwa zinazotokana na maamuzi haya. 1. Timu ya taifa ya Uganda kiukweli uwezo wao wa soka kwa sasa hivi upo juu sana kulinganisha na Taifa Stars, hata record za FIFA zinaonyesha hivyo, ilikuwa ni muhimu Taifa Stars kuwa na kikosi chake bora kabisa katika kujiandaa na pambano hili. 2. Timu ya Taifa ya Uganda katika first 11 yake ina wachezaji wawili wa Simba akiwemo yule kipenzi cha mashabiki no 1 Emmanuel Okwi pamoja na Juuko Murshid hivyo kwa maamuzi haya ni wazi kabisa, mashabiki wa simba ambao kwa sasa ndio wanaojaza uwanja wa Taifa watahamia upande wa Uganda Cranes na kuleta athari kubwa, Watanzania hawana hulka ya uzalendo katika mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
mechi ya tarehe 8 Kampala na wakija kwetu mechi Mwanza...alafu golini Manula au atafungisha
 
Uzi huo huo Kocha Amunike. Nidhamu mbele mengine yafuate. Kwa nini Manula awahi wengine wachelewe?
Kocha hataki business as usual. Umahiri bila nidhamu, hakuna timu.
 
Tarehe Nane mwezi september nitakuwa jukwaa la Uganda kutokuunga juhudi hizi za walimwengu.. Uganda itashinda vizuri tu
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana...umeshawahi kusikia Ronaldo kaitwa timu ya taifa halaf kachelewa kufika bila taarifa?!..mbona manula kafika kwa wakat hao wenzake kwann wachelewe tena bila taarifa?
 
Hizo futina uzisemazo ndiyo kikwazo kwa soka LA nchi hii. Nidhamu lazima, haiwezekani Aishi Manula ameripoti, wengine watege. Safi sana kocha, mambo ya kubembelezana wabaki nayo huko huko Simba fc. Nchi hii INA vipaji vingi sana wacha na hao wengine wapate nafasi
Huyu atachemka tu. Mbona akina Samatta bado hawajaripoti, hazijui fitina la soka la bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No.2 ni upuuzi mtupu. Haki ya Mungu tusipoacha siasa za U-simba na U-yanga, Mpira was nchi hii utabakia kwenye magazeti.
Kabla ya kuchukua maamuzi magumu kama haya, ni vizuri kufanya tathmini ya risk, japo nakiri wazi Mimi kitaaluma siyo kocha wa mpira, lakini naziona risk 2 mbili kubwa zinazotokana na maamuzi haya. 1. Timu ya taifa ya Uganda kiukweli uwezo wao wa soka kwa sasa hivi upo juu sana kulinganisha na Taifa Stars, hata record za FIFA zinaonyesha hivyo, ilikuwa ni muhimu Taifa Stars kuwa na kikosi chake bora kabisa katika kujiandaa na pambano hili. 2. Timu ya Taifa ya Uganda katika first 11 yake ina wachezaji wawili wa Simba akiwemo yule kipenzi cha mashabiki no 1 Emmanuel Okwi pamoja na Juuko Murshid hivyo kwa maamuzi haya ni wazi kabisa, mashabiki wa simba ambao kwa sasa ndio wanaojaza uwanja wa Taifa watahamia upande wa Uganda Cranes na kuleta athari kubwa, Watanzania hawana hulka ya uzalendo katika mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo futina uzisemazo ndiyo kikwazo kwa soka LA nchi hii. Nidhamu lazima, haiwezekani Aishi Manula ameripoti, wengine watege. Safi sana kocha, mambo ya kubembelezana wabaki nayo huko huko Simba fc. Nchi hii INA vipaji vingi sana wacha na hao wengine wapate nafasi
Unasema mambo hayo yabaki huko Simba SC, mbona Fei Toto wa Yanga ameondolewa unajua sababu ya kuchelewa kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona uliisema Simba SC, ulikuwa hujui ulichokiandika? Au kwa vile ni Big Brand.
Samahani kwa kuisema timu yako pendwa bro. Ila Huo ndiyo ukweli U-Yanga na U-simba ndiyo sumu ya soka LA nchi hii. Sikuisema Simba kwa kuwa naichukia LA hasha, nimechangia kulingana mada iliyoletwa hapa jukwaani. Mleta mada angemtaja huyo sujui Fei Toto naye ningemchapa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huo huo Kocha Amunike. Nidhamu mbele mengine yafuate. Kwa nini Manula awahi wengine wachelewe?
Kocha hataki business as usual. Umahiri bila nidhamu, hakuna timu.

Kama Nidhamu Yeye Mwenyewe Kaikosa! Kama wewe umesahau basi sisi Hatujasahau Kitendo Alichokifanya Yeye na Kina Okocha World Cup 1998 kwa Kudai Pesa za Posho Hadharani Katikati Ya Michuano Na Kutishia Kugomea Mchezo Wao dhidi Ya Denmark hatimae Wakaucheza Chini ya Kiwango Wakiwa na Mgomo Baridi.

Sasa Leo Yeye anaona Ajabu Watu Kuchelewa Kambini Wakati Yeye Mwenyewe Ana CV mbovu kabisa Kwa Upande Wa Nidhamu.
 
Back
Top Bottom