Kocha Amunike awaondoa wachezaji wa Simba Taifa Stars kwa kuchelewa kuripoti kambini

wanaowatetea wachezaji ndiyo kiwango ujinga wa watanzania naoeleza kila siku kuhusu watz wengi hawapendi kusimamia mambo ya msingi
 
Mchezaji upo hapahapa dsm unaitwa timu ya taifa unashindwa kufika kwa wakat tena bila taarifa?!...fukuza wote. Watu wanaota kuitwa timu zao za taifa halaf ww unaleta upuuzi
 
wanaowatetea wachezaji ndiyo kiwango ujinga wa watanzania naoeleza kila siku kuhusu watz wengi hawapendi kusimamia mambo ya msingi
Sawa ngoja tuone mambo hayo ya msingi yatakavyoongeza kiwango cha utandazaji kabumbu
 
Kwl
Kuna uwezekano akili yako haikufai, kwanini wengine wawai kufika hao ndio walete kiburi? Au kwavile wanacheza Simba?

Kweli nyani haoni kundule...ni pale watakaporudishwa kwenye timu ya Taifa ndipo utakapo elewa uwezo wako wa kufikiri ni zero kama ilivyo timu yenu..zaidi ya mika 50 bado mnaomba omba pesa mtaani kwa ajli ya kuendesha club ..hizi akili ni za watu wa aina yako
 
Mkuu, ratiba lazima iendane na kanuni za FIFA. Kuna minimum time ya kuwaruhusu. Lakini club ikiwa radhi wanawahi.
Tff wamepangua ratiba ya mechi ya Azam, Simba na Yanga..kwasababu Kocha anawahitaji mapema zaidi wachezaji kambini.

Inamaana Tff walikwenda na ratiba sawa na Kanuni hasa kuhusu timu zote za Taifa na Vilabu vya mpira. Sasa yeye anataka akae muda mrefu kinyume ya ilivyozoeleka.

Mchezaji akiitwa timu ya Taifa tayari anajua, ni maelekezo kidogo tu. Hapa tatizo kocha na hasa ukizingatia walimaliza mechi yao mwisho saa ngapi? Na yeye anawahitaji muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Timu yetu kina nani?kama wachezaji wameshindwa kufata mda he wataweza kufata maelekezo ya kocha?
 
Hapo ulipo unatetemeka. Ulichokiandika hukielewi hata wewe mwenyewe. Pole!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inamaana hao waliofukuzwa wangekuwa mejeruhi timu isingepaswa kuita wengine?
"Wange" kama unajua kiswahili uanzie hapo mwishowe utakutana na "wasinge"
 
Kabla ya kuchukua maamuzi magumu kama haya, ni vizuri kufanya tathmini ya risk, japo nakiri wazi Mimi kitaaluma siyo kocha wa mpira, lakini naziona risk 2 mbili kubwa zinazotokana na maamuzi haya. 1. Timu ya taifa ya Uganda kiukweli uwezo wao wa soka kwa sasa hivi upo juu sana kulinganisha na Taifa Stars, hata record za FIFA zinaonyesha hivyo, ilikuwa ni muhimu Taifa Stars kuwa na kikosi chake bora kabisa katika kujiandaa na pambano hili. 2. Timu ya Taifa ya Uganda katika first 11 yake ina wachezaji wawili wa Simba akiwemo yule kipenzi cha mashabiki no 1 Emmanuel Okwi pamoja na Juuko Murshid hivyo kwa maamuzi haya ni wazi kabisa, mashabiki wa simba ambao kwa sasa ndio wanaojaza uwanja wa Taifa watahamia upande wa Uganda Cranes na kuleta athari kubwa, Watanzania hawana hulka ya uzalendo katika mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fukuza wote wasio na nidhamu, mchezaji asiye na nidhamu/jua umuhimu wa kuipigania timu yake na taifa lake wa nini?

Kaseja na kuwa bora ila hana nidhamu alisugua benchi iwe hao wahuni.

mambo ya kufeli yapo tu uingeleza hadi leo anafeli kunyanyua kwapa iwe Tanzania.

Fukuza mpaka wawe na akili
 
"Wange" kama unajua kiswahili uanzie hapo mwishowe utakutana na "wasinge"
hapo unataka uipeleke unavyotaka wewe. ukiangalia kwa makini neno lililosababisha mii kutumia 'isinge' ni neno Timu na wewe kama unaijua lugha vyema basi utakuwa umesoma mambo ya grammar cincord.
 
Reactions: Pep
hapo unataka uipeleke unavyotaka wewe. ukiangalia kwa makini neno lililosababisha mii kutumia 'isinge' ni neno Timu na wewe kama unaijua lugha vyema basi utakuwa umesoma mambo ya grammar cincord.
Utapata taabu sana!!
Kocha wenu kishawagawa watanzania. There will be minimal surport
 
Barcelona ni timu ya uchochoroni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Ni zenu na atashindwa kweli kwa tabia zenu daima watu wanapenda wawe juu ya kocha, wamchagulie timu, wamuelekeze jinsi ya mazoezi na upupu mwingine, hebu mwacheni afanye kazi, bila haya watamtafutia zengwe na kumfukuza. Lazima ajenge nidhamu mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu Kihimbwa, Kimenya, Ngalema, Domayo, Sabato, Chilunda wnasubir nje mbona fresh tu! Kumbembelezana sasa basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…