Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja tuone mambo hayo ya msingi yatakavyoongeza kiwango cha utandazaji kabumbuwanaowatetea wachezaji ndiyo kiwango ujinga wa watanzania naoeleza kila siku kuhusu watz wengi hawapendi kusimamia mambo ya msingi
Kuna uwezekano akili yako haikufai, kwanini wengine wawai kufika hao ndio walete kiburi? Au kwavile wanacheza Simba?
Tff wamepangua ratiba ya mechi ya Azam, Simba na Yanga..kwasababu Kocha anawahitaji mapema zaidi wachezaji kambini.Mkuu, ratiba lazima iendane na kanuni za FIFA. Kuna minimum time ya kuwaruhusu. Lakini club ikiwa radhi wanawahi.
Kwl
Kweli nyani haoni kundule...ni pale watakaporudishwa kwenye timu ya Taifa ndipo utakapo elewa uwezo wako wa kufikiri ni zero kama ilivyo timu yenu..zaidi ya mika 50 bado mnaomba omba pesa mtaani kwa ajli ya kuendesha club ..hizi akili ni za watu wa aina yako
Hapo ulipo unatetemeka. Ulichokiandika hukielewi hata wewe mwenyewe. Pole!Coach alichaguliwa timu na TFF..baada ya kuona wakina Kihimbwa na Kimenya kafukuza uozo..mikia mpira sio taarabu..jitu limecheza world cup na kufunga magoli USA,Olympic limechukua gold medal.AFCON.CAF champions.. Limecheza Barcelona ya Spain sio Mbagala akapata injury ya goti....alafu mchezaji wa ovyo unaleta nyodo.Fukuza hata wa Yanga na Azam wakizingua...hii michezaji ndio maana tunashindwa kwenda AFCON miaka chungu kibao
"Wange" kama unajua kiswahili uanzie hapo mwishowe utakutana na "wasinge"inamaana hao waliofukuzwa wangekuwa mejeruhi timu isingepaswa kuita wengine?
hapo unataka uipeleke unavyotaka wewe. ukiangalia kwa makini neno lililosababisha mii kutumia 'isinge' ni neno Timu na wewe kama unaijua lugha vyema basi utakuwa umesoma mambo ya grammar cincord."Wange" kama unajua kiswahili uanzie hapo mwishowe utakutana na "wasinge"
Utapata taabu sana!!hapo unataka uipeleke unavyotaka wewe. ukiangalia kwa makini neno lililosababisha mii kutumia 'isinge' ni neno Timu na wewe kama unaijua lugha vyema basi utakuwa umesoma mambo ya grammar cincord.
Barcelona ni timu ya uchochoroni ?Dalili za mvua ni Mawingu...huyo kocha kashindwa day one tayari...yeye alivyokuwa timu ya taifa ya Nigeria akichezea vitimu vya "chokochokoroni" wakati akiwahi kambini huku wakina Finidi Geogre na Kanu wakichelewa kambini kutokea Ulaya..walifkuzwa? huyu hatufai tayari
Barcelona zipo nyingi kuna za Manzese Magomeni...au Kariakoo
Kuna Barcelona moja tu, labda km kuna clone ya BarcelonaBarcelona zipo nyingi kuna za Manzese Magomeni...au Kariakoo
Sijui kwa nini kocha hajamuona! Ila kwa Ngalema na Kihimbwa kafanya maamuzi sahihiKaseke vipiii???
Hizo Ni zenu na atashindwa kweli kwa tabia zenu daima watu wanapenda wawe juu ya kocha, wamchagulie timu, wamuelekeze jinsi ya mazoezi na upupu mwingine, hebu mwacheni afanye kazi, bila haya watamtafutia zengwe na kumfukuza. Lazima ajenge nidhamu mapemaDalili za mvua ni Mawingu...huyo kocha kashindwa day one tayari...yeye alivyokuwa timu ya taifa ya Nigeria akichezea vitimu vya "chokochokoroni" wakati akiwahi kambini huku wakina Finidi Geogre na Kanu wakichelewa kambini kutokea Ulaya..walifkuzwa? huyu hatufai tayari
Afu Kihimbwa, Kimenya, Ngalema, Domayo, Sabato, Chilunda wnasubir nje mbona fresh tu! Kumbembelezana sasa basi!Mchezaji Simba anayeweza kuanza timu ya Taifa ni Manula tuu..Mzungu Manara akaona brand ya Simba itashushiwa hadhi...akawakataza kwenda..jiulize kwa nini Manula karipoti..kikosi cha stars..1)Manula 2) Himid Mao 3)Gadiel 4) Kevin 5)Banda 6) Mudathir 7)Msuva 8)Fei Toto 9)Mandawa 10) Samatta 11) Ulimwengu.....mababu na kimbilikimo watapata namba ipi