Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
mechi ya tarehe 8 Kampala na wakija kwetu mechi Mwanza...alafu golini Manula au atafungishaKabla ya kuchukua maamuzi magumu kama haya, ni vizuri kufanya tathmini ya risk, japo nakiri wazi Mimi kitaaluma siyo kocha wa mpira, lakini naziona risk 2 mbili kubwa zinazotokana na maamuzi haya. 1. Timu ya taifa ya Uganda kiukweli uwezo wao wa soka kwa sasa hivi upo juu sana kulinganisha na Taifa Stars, hata record za FIFA zinaonyesha hivyo, ilikuwa ni muhimu Taifa Stars kuwa na kikosi chake bora kabisa katika kujiandaa na pambano hili. 2. Timu ya Taifa ya Uganda katika first 11 yake ina wachezaji wawili wa Simba akiwemo yule kipenzi cha mashabiki no 1 Emmanuel Okwi pamoja na Juuko Murshid hivyo kwa maamuzi haya ni wazi kabisa, mashabiki wa simba ambao kwa sasa ndio wanaojaza uwanja wa Taifa watahamia upande wa Uganda Cranes na kuleta athari kubwa, Watanzania hawana hulka ya uzalendo katika mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atachemka tu. Mbona akina Samatta bado hawajaripoti, hazijui fitina la soka la bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuchukua maamuzi magumu kama haya, ni vizuri kufanya tathmini ya risk, japo nakiri wazi Mimi kitaaluma siyo kocha wa mpira, lakini naziona risk 2 mbili kubwa zinazotokana na maamuzi haya. 1. Timu ya taifa ya Uganda kiukweli uwezo wao wa soka kwa sasa hivi upo juu sana kulinganisha na Taifa Stars, hata record za FIFA zinaonyesha hivyo, ilikuwa ni muhimu Taifa Stars kuwa na kikosi chake bora kabisa katika kujiandaa na pambano hili. 2. Timu ya Taifa ya Uganda katika first 11 yake ina wachezaji wawili wa Simba akiwemo yule kipenzi cha mashabiki no 1 Emmanuel Okwi pamoja na Juuko Murshid hivyo kwa maamuzi haya ni wazi kabisa, mashabiki wa simba ambao kwa sasa ndio wanaojaza uwanja wa Taifa watahamia upande wa Uganda Cranes na kuleta athari kubwa, Watanzania hawana hulka ya uzalendo katika mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema mambo hayo yabaki huko Simba SC, mbona Fei Toto wa Yanga ameondolewa unajua sababu ya kuchelewa kwake?Hizo futina uzisemazo ndiyo kikwazo kwa soka LA nchi hii. Nidhamu lazima, haiwezekani Aishi Manula ameripoti, wengine watege. Safi sana kocha, mambo ya kubembelezana wabaki nayo huko huko Simba fc. Nchi hii INA vipaji vingi sana wacha na hao wengine wapate nafasi
Unasema mambo hayo yabaki huko Simba SC, mbona Fei Toto wa Yanga ameondolewa unajua sababu ya kuchelewa kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona uliisema Simba SC, ulikuwa hujui ulichokiandika? Au kwa vile ni Big Brand.Hats Hugo kama kazingua atupwe nje tu, kuna vipaji vingi hapa nchini vinasubiri hiyo nafasi. Mambo ya Simba na Yanga yameisha tuchosha.
Wachezaji wa Zimba bora wametolewa...yani tulishafungwa kabla hatujacheza hiyo mechi........viongozi wako jela....msemaji wao MKUDA...wachezaji VIBURIAshiinde hiyo game sasa
Mbavu zanguAmekosea kabla hajaanza!
Namsikitikia sana.
Atalijua kosa lake atakaponyunyiziwa mvua ya magoli na timu dhaifu kabisa!!
Hii misimamo mingine ni chumbani haifai sebuleni.
Sasa mbona uliisema Simba SC, ulikuwa hujui ulichokiandika? Au kwa vile ni Big Brand.
Samahani kwa kuisema timu yako pendwa bro. Ila Huo ndiyo ukweli U-Yanga na U-simba ndiyo sumu ya soka LA nchi hii. Sikuisema Simba kwa kuwa naichukia LA hasha, nimechangia kulingana mada iliyoletwa hapa jukwaani. Mleta mada angemtaja huyo sujui Fei Toto naye ningemchapa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi huo huo Kocha Amunike. Nidhamu mbele mengine yafuate. Kwa nini Manula awahi wengine wachelewe?
Kocha hataki business as usual. Umahiri bila nidhamu, hakuna timu.