Kocha Amunike awaondoa wachezaji wa Simba Taifa Stars kwa kuchelewa kuripoti kambini



Huu Uliouandika Ni Usenge Wa Kiwango Cha Bombardier
 
Baada ya Kumaliza kusoma hili gazeti.. Nikuulize, Je Aishi Manula yeye alimaliza Mechi saa mbili asubuhi??!! Mbona karipoti na ni mchezaji wa simba??!!
Hoja ni siku ya kuripoti, sio nani ameripoti hotelini (sio kambini maana kambi haikuwa imeanza)
 
Fei Toto nae kafanyaje? Nasikia nae kaambiwa bye bye.
 
HAJATUMIA HEKIMA ILIYO TUKUKA,MATHALANI NINGALIKUA KOCHA NA HUU UPEO WANGU MFINYU WA KIKAPUKU NISINGETHUBUTU KUFANYA HIVI,NIKWELI MPIRA UNAANZA NA NIDHAMU KWANZA BUT KUNA WAKATI HUNA BUDI KUKUBALIANA NA HALI HALISI,ISITOSHE SHERIA IMEWEKWA ILI IVUNJWE,INGALIKUA WAMESHARIPOT WOTE KASORO WAO HAPO NDIO ANGEPASWA KUFANYA HIVYO,OTHERWISE AMEBUG.
 
Acha kupotosha jamii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji professional huendi kumfundisha mpira bali unaenda kumpa tecnics ambayo hata siku 3 tu zinatosha.. Sasa anataka wakae kambi wiki nzima ili iwe nini. Hili kocha hovyo kabisa
Tuna safari ndefu Mkuu mpaka Leo bado tunaamini Timu ya Taifa ni kwenda kufundisha kucheza mpira hahahahahaha
 
Si kweli kuingia kwa wachezaji wa Simba kulisababisha Algeria kusawazisha bao mbili Taifa, Bali ni mbinu dhaifu za kocha Mkwasa, pamoja na uimara wa kikosi cha Algeria wakati huo, kumbuka Algeria ilikuwa no 1 Africa, katika ranking za FIFA kipindi hicho. Unataka kutuaminisha kuwa siku 10 baadaye Stars ilichapwa 7 bila na Hao Algeria sababu ya wachezaji wa Simba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minaona kocha yupo sawa mana wachezaji wanajiona kwamba Wao diyo wanajuwa mpira wacheni watoto waje wafanye yao nakuwanesha kwamba wanajuwa mpira mbna manula aliwasili au yeye siyo mchezaji wa simba??naombeni jib wadau was mpr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekosea kabla hajaanza!
Namsikitikia sana.

Atalijua kosa lake atakaponyunyiziwa mvua ya magoli na timu dhaifu kabisa!!

Hii misimamo mingine ni chumbani haifai sebuleni.
Hii ndo ilikuwa hatari ambayo aliijenga hapo mwanzo. Mkuu yametimia sasa
 
Kocha anatuchokoza huyu sasa subiri tutaendelea kuzomea taifa stars
Timu ya taifa wachezaji wakiitwa lazima wapewe na posho za kuwafikisha kambini hilo halijazingatiwa kocha anakurupuka tu
Day one failure
Asante mkuu, Kama alivyokurupuka katika kupanga kikosi
 
wewe ni nabii wa ukweli
 
Sisi washabiki Wa Simba SC kindakindaki tulikikataa zamani hichi Kigenge cha Amunike tokea awali alipofanya Undala Wa Kuwafukuza wachezaji Wa Simba.
Kwahiyo Hivi vipigo Ni kwamba Tunavifurahia.


Sent from my KING² using Jamii Forums mobile app
Mikosi imeanza baada ya kuwarudisha matopeni. Angeshikilia msimamo wake, sasa tungekuwa AFCON tayari. Goli la kipuuzi la Manula lile
 
This is stupidity, hta mkifurahi still inabaki palepale ww ni Mtz na umefungwa.

Wacha Wenge! Mimi ni Mtanzania nitafungwa itapofungwa Taifa Stars, Lakini siwezi umia kwa Kufungwa Kigenge cha Amunike ambacho sio Taifa Stars bali ni Kigenge kilichokusanya baadhi ya Wacheza Chandimu kutoka Baadhi ya Vijiwe kama kile Kijiwe cha Jangwani na kijiwe cha Chamanzi.

Sent from my KING² using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mchezaji wa Lesotho amepiga kichwa katikati ya Yondani (5) na Sebo (23), hawakuwa na umuhimu wa kuokoa baada ya Manula kupangua ile hatari

Wao walimkaba kwa macho tu. Tuwe Wazalendo jamanini.
Mikosi imeanza baada ya kuwarudisha matopeni. Angeshikilia msimamo wake, sasa tungekuwa AFCON tayari. Goli la kipuuzi la Manula lile
 
Mbona mchezaji wa Lesotho amepiga kichwa katikati ya Yondani (5) na Sebo (23), hawakuwa na umuhimu wa kuokoa baada ya Manula kupangua ile hatari

Wao walimkaba kwa macho tu. Tuwe Wazalendo jamanini.
Alipangua au alimpa mfungaji? Uzalendo kidogo Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…