Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Hapa Mimi Najiandaa Kuzomea tu Mwanzo mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka mechi dhidi ya Algeria nyumbani, Tanzania ilikua inaongoza goli mbili bila na ndani hakukua na mchezaji ata mmoja wa simba... Kocha alipotaka kubalance mambo na kuingiza wachezaji wa simba ili nao wacheze kidogo kupunguza maneno mtaani, goli zote zikarudi ikawa mbili kwa mbili.... Nadhani kocha ameliona hili kawatimua mapema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ni siku ya kuripoti, sio nani ameripoti hotelini (sio kambini maana kambi haikuwa imeanza)Baada ya Kumaliza kusoma hili gazeti.. Nikuulize, Je Aishi Manula yeye alimaliza Mechi saa mbili asubuhi??!! Mbona karipoti na ni mchezaji wa simba??!!
Acha kupotosha jamii!Nakumbuka mechi dhidi ya Algeria nyumbani, Tanzania ilikua inaongoza goli mbili bila na ndani hakukua na mchezaji ata mmoja wa simba... Kocha alipotaka kubalance mambo na kuingiza wachezaji wa simba ili nao wacheze kidogo kupunguza maneno mtaani, goli zote zikarudi ikawa mbili kwa mbili.... Nadhani kocha ameliona hili kawatimua mapema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna safari ndefu Mkuu mpaka Leo bado tunaamini Timu ya Taifa ni kwenda kufundisha kucheza mpira hahahahahahaMchezaji professional huendi kumfundisha mpira bali unaenda kumpa tecnics ambayo hata siku 3 tu zinatosha.. Sasa anataka wakae kambi wiki nzima ili iwe nini. Hili kocha hovyo kabisa
Si kweli kuingia kwa wachezaji wa Simba kulisababisha Algeria kusawazisha bao mbili Taifa, Bali ni mbinu dhaifu za kocha Mkwasa, pamoja na uimara wa kikosi cha Algeria wakati huo, kumbuka Algeria ilikuwa no 1 Africa, katika ranking za FIFA kipindi hicho. Unataka kutuaminisha kuwa siku 10 baadaye Stars ilichapwa 7 bila na Hao Algeria sababu ya wachezaji wa Simba?Nakumbuka mechi dhidi ya Algeria nyumbani, Tanzania ilikua inaongoza goli mbili bila na ndani hakukua na mchezaji ata mmoja wa simba... Kocha alipotaka kubalance mambo na kuingiza wachezaji wa simba ili nao wacheze kidogo kupunguza maneno mtaani, goli zote zikarudi ikawa mbili kwa mbili.... Nadhani kocha ameliona hili kawatimua mapema kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo ilikuwa hatari ambayo aliijenga hapo mwanzo. Mkuu yametimia sasaAmekosea kabla hajaanza!
Namsikitikia sana.
Atalijua kosa lake atakaponyunyiziwa mvua ya magoli na timu dhaifu kabisa!!
Hii misimamo mingine ni chumbani haifai sebuleni.
Asante mkuu, Kama alivyokurupuka katika kupanga kikosiKocha anatuchokoza huyu sasa subiri tutaendelea kuzomea taifa stars
Timu ya taifa wachezaji wakiitwa lazima wapewe na posho za kuwafikisha kambini hilo halijazingatiwa kocha anakurupuka tu
Day one failure
wewe ni nabii wa ukweliDalili za mvua ni Mawingu...huyo kocha kashindwa day one tayari...yeye alivyokuwa timu ya taifa ya Nigeria akichezea vitimu vya "chokochokoroni" wakati akiwahi kambini huku wakina Finidi Geogre na Kanu wakichelewa kambini kutokea Ulaya..walifkuzwa? huyu hatufai tayari
This is stupidity, hta mkifurahi still inabaki palepale ww ni Mtz na umefungwa.Sisi washabiki Wa Simba SC kindakindaki tulikikataa zamani hichi Kigenge cha Amunike tokea awali alipofanya Undala Wa Kuwafukuza wachezaji Wa Simba.
Kwahiyo Hivi vipigo Ni kwamba Tunavifurahia.
Sent from my KING² using Jamii Forums mobile app
Mikosi imeanza baada ya kuwarudisha matopeni. Angeshikilia msimamo wake, sasa tungekuwa AFCON tayari. Goli la kipuuzi la Manula lileSisi washabiki Wa Simba SC kindakindaki tulikikataa zamani hichi Kigenge cha Amunike tokea awali alipofanya Undala Wa Kuwafukuza wachezaji Wa Simba.
Kwahiyo Hivi vipigo Ni kwamba Tunavifurahia.
Sent from my KING² using Jamii Forums mobile app
This is stupidity, hta mkifurahi still inabaki palepale ww ni Mtz na umefungwa.
Mikosi imeanza baada ya kuwarudisha matopeni. Angeshikilia msimamo wake, sasa tungekuwa AFCON tayari. Goli la kipuuzi la Manula lile
Mikosi imeanza baada ya kuwarudisha matopeni. Angeshikilia msimamo wake, sasa tungekuwa AFCON tayari. Goli la kipuuzi la Manula lile
Alipangua au alimpa mfungaji? Uzalendo kidogo Mkuu.Mbona mchezaji wa Lesotho amepiga kichwa katikati ya Yondani (5) na Sebo (23), hawakuwa na umuhimu wa kuokoa baada ya Manula kupangua ile hatari
Wao walimkaba kwa macho tu. Tuwe Wazalendo jamanini.