GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 10, 2023 #1 Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
Kama kuna Timu kwa sasa itakuwa ni ya Pili Kwangu Kuichukia baada ya ile nyingine inayojulikana na kila Mtu kuwa naichukia zaidi basi itakuwa ni Azam FC. Timu imejaa Unafiki na Uyanga mno.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 10, 2023 #2 Yusuf alipanga kuibomoa Yanga, naona maji yamezidi unga...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 166,767 Reaction score 705,461 Aug 10, 2023 #3 🤣🤣
CARDLESS JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 7,840 Reaction score 15,918 Aug 10, 2023 #4 Aisee, haya makasiriko asubuhi yote hii.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Aug 10, 2023 #5 CARDLESS said: Aisee, haya makasiriko asubuhi yote hii. Click to expand... Tegemeo lake lilikuwa kwa feitoto
CARDLESS said: Aisee, haya makasiriko asubuhi yote hii. Click to expand... Tegemeo lake lilikuwa kwa feitoto
Qatif JF-Expert Member Joined Dec 16, 2014 Posts 379 Reaction score 860 Aug 10, 2023 #6 Hii Timu haieleweki inataka nini, sasa subiri waje wakutane na Simba unaweza kudhani ni bingwa wa CAFCC.
Hii Timu haieleweki inataka nini, sasa subiri waje wakutane na Simba unaweza kudhani ni bingwa wa CAFCC.
I ikiumasema JF-Expert Member Joined Oct 9, 2015 Posts 923 Reaction score 1,299 Aug 10, 2023 #7 Kwani aliyefungwasi Azam?mbona maksiriko sana ?
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Aug 10, 2023 #8 ikiumasema said: Kwani aliyefungwasi Azam?mbona maksiriko sana ? Click to expand... ... hata mimi nashangaa. Aliyelala na mwanamme ni mtu mwingine, halafu yeye eti anabeba mimba ya huyo mwanamme.
ikiumasema said: Kwani aliyefungwasi Azam?mbona maksiriko sana ? Click to expand... ... hata mimi nashangaa. Aliyelala na mwanamme ni mtu mwingine, halafu yeye eti anabeba mimba ya huyo mwanamme.