JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Ona naye huyu.Utopolo Hawana Makocha...!
Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!
Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!
Kaze hamna Kitu pale.!
Nabi alivyokuja Yanga, mkaweza kumfunga mara ngapi tokea aje?Utopolo Hawana Makocha...!
Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!
Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!
Kaze hamna Kitu pale.!
Kuna kocha ambaye hajawahi kutimuliwa?Utopolo Hawana Makocha...!
Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!
Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!
Kaze hamna Kitu pale.!
Akijibu unitagNabi alivyokuja Yanga, mkaweza kumfunga mara ngapi tokea aje?
unaijua cv ya nabi vzr? Ana ubingwa wa caf shirikisho,ana ubingwa wa drc,ana ubingwa car, anaubingwa bongo,yuko makundiUtopolo Hawana Makocha...!
Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!
Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!
Kaze hamna Kitu pale.!
Kumbe kuingia makundi kunabusti CV, Yanga bwana 🤣😂🤣unaijua cv ya nabi vzr? Ana ubingwa wa caf shirikisho,ana ubingwa wa drc,ana ubingwa car, anaubingwa bongo,yuko makundi
mbumbumbu mzungu wa reli,hatajui unasema nnKumbe kuingia makundi kunabusti CV, Yanga bwana 🤣😂🤣
Halafu wanaongoza ligiUtopolo Hawana Makocha...!
Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!
Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!
Kaze hamna Kitu pale.!
Kwahiyo Kapombe angeitwa ndio mpira wetu ungekua? Kwani kashaitwa mara ngapi wanaishia kubamizwa migoli mingi mingi? Nyinyi kaeni pembeni tutaenda kuishangilia timu ya taifa peke yetu ebooHii timu inaenda kushangiliwa na Yanga tu, mashabiki wa Simba watakaa pembeni.
Ina make sense sasa kwa nini mchezaji kama Kapombe ameachwa, kwa nini Feisal ameitwa, kwa nini makipa wawili wa Simba wameitwa (mtego wa lawama unawasubiria).
Siasa inaendesha mpira, bado hatuna nia ya kweli kukuza mpira wetu.
Mwalimu Kaze anaongoza duniani kwa kufundisha kukaba , kulinda na kuzuia kufungwa. Ukiifunga Yanga goli moja tu Kaze halali wiki nzima anastudy umeifungaje Yanga mwanya uko wapi, iliwezekanaje basi goli moja tu litamuuma mno! Ukiifunga Yanga goli mbili anaweza kupata homa!
Kifupi Cedric Kaze hataki kufungwa na anajua kulinda asifungwe. Bado Kuna shida Yanga juu ya kucheza krosi , mabeki kuruka na washambuliaji hapa ndo bado Kaze hajafanikiwa.
Wachezaji wa Yanga wameshamuelewa na Sasa kuifunga Yanga kwa mpira wa move ni ngumu sana ni kubahatisha tu.
Kaze ni mtu sahihi. Atasaidia sana Taifa Stars kujifunza kuzuia ila tu iwapo hao wageni Toka Simba sijui Geita kama watafundishika. Yanga oyeeee!
Mbona Manula ameitwa? Unaacha makipa ambao wana game time kwenye timu zao unaenda kumuita Metacha ambaye hata mechi na Mbao huwa hapangwi?Kwahiyo Kapombe angeitwa ndio mpira wetu ungekua? Kwani kashaitwa mara ngapi wanaishia kubamizwa migoli mingi mingi? Nyinyi kaeni pembeni tutaenda kuishangilia timu ya taifa peke yetu eboo
Mbona kama umevurugwa! Ulichokiandika, na mada iliyopo mezani; ni vitu viwili tofauti.Utopolo Hawana Makocha...!
Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!
Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!
Kaze hamna Kitu pale.!