Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

Mashabiki wa simba mna nongwa sana. Kulalamika, kulialia, na kutukana ndiyo jadi yenu.
 
Mbona Manula ameitwa? Unaacha makipa ambao wana game time kwenye timu zao unaenda kumuita Metacha ambaye hata mechi na Mbao huwa hapangwi?
Kwani ni lazima mchezaji akiwa simba au yanga kuitwa timu ya taifa? watu wamecheza timu ya taifa miaka nenda rudi na hakuna cha maana walicho liletea taifa lao, mabadiliko ndio maendeleo mkuu acha damu changa zicheze pengine zitatufikisha mahali pazuri.
 
Umeongea kwa uchungu sana. Poleni Bob junior fc
 
Cha msingi tujue lugha mbalimbali kupata kazi ni nje nje
 
Kwani waliochaguliwa wote ni wapya? Swali lako la kwanza na mimi nimeuliza. Kigezo cha kumuita kipa wa akiba wa Yanga ni kipi?
 
Utopolo Hawana Makocha...!

Nabi imebakia kusifiwa Na Wachambuzi Wa Mchongo...!

Historia Yake inaeleweka alikotimuliwa El merrekh baada Ya Kupokea kipigo kutoka kwa Mnyama CL Ya CAF..!

Kaze hamna Kitu pale.!
Sasa mtu unaitwa Kinje kitile akili uzitoe wapi?
 
Ni kile kile kilichotumika kumuita kipa wa akiba wa Simba
Kakolanya kadaka mechi kubwa tu na muhimu za Simba na kaonyesha uwezo ingawa kwa timu ya taifa naye nadhani wangemuacha kwa hiyo hoja yangu iko pale pale.

Hauwezi kuwalinganisha makipa hawa wawili kwa jinsi walivyotumika msimu huu. Ni mambo ya kubalance tu uSimba na uYanga ambayo wote tunayakataa.
 

Yanga Ina kiungo Bora sana Bangala na Aucho. Wanaweza kucheza na timu yoyote Hawa jamaa.


Wakati yanga Wana Bangala na Aucho Simba Wana Viungo wasiojua kukaba.
Kumpandisha timu.
Kupiga pasi.
Viungo makadi.
MZAMIRU na kanute.

Kutoka Thadeo Mkude Hadi MZAMIRU na kanute !!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…