Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Azam haihongi marefa ndo tatizo lilipo
Sio wazee wa bahasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam haihongi marefa ndo tatizo lilipo
Mkuu udini hapo mbona siuoni?,hawa care takers coaches wote ni Christians, udini hauna nafasi in the modern world hasa kwetu hapa Tanzania.Tatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...
Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
Nabi safari yake imewadiaNitarudi hapa baada ya mechi ya leo.. Na pia 27/10 nitakuja kukujulia hali Mkuu.
Kwa nini mnapenda sana kuchanganya uislamu na Uswahili. Tatizo la AZAM kuna uswahili mwingi sana na hao waswahili ndiyo shida yenyewe.Tatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...
Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
Hilo tahila HIMARS limejaa chuki kwa uislam, Sasa Bora umemjibu, labda yeye angependa iyo team imilikiwe na askofu pengoMkuu udini hapo mbona siuoni?,hawa care takers coaches wote ni Christians, udini hauna nafasi in the modern world hasa kwetu hapa Tanzania.
Tahila wewe, Basi hiyo timu wamuuzie Askofu pengo, kwahiyo sababu mmiliki Ni muislam ndio udini, ila angekuwa anaimiliki mkristo hapo hakuna udini?!Tatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...
Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
It's sad sisi middle class tunapokua tunawaza kama hivi mkuu, mafanikio ya mtu dini yake it got nothing to do,na why mchangiaji kaja na udini sielewi kabisa ,maana waliochukua nafasi wote ni wakristu, nachukia udinihuyo jamaa ana chuki na mafanikio ya muislam yoyote, hapo chuki yake ni kwa mmiliki wa timu na dini Yake,
Fafanua vizuri tukuelewe mkuuTatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...
Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
Management ya kiswahiliAZAM MNAFELI WAPI.
INANIUMA SANA.
TIMU INA UWEKEZAJO BORA KABISA.
TIMU INA KILA KITU.
MNAFELI WAPI AZAM.
LABDA NIMUULIZE
JEMEDARI KAZUMARI.
Weye utacheza namba ngapi?Simba msijidanganye mtafunga Yanga kirahisi ivyo,mna kikosi cha kawaida sana,battle itakayo tokea leo pale hutaamini.
Ni hatari Sana, jitu linaendekeza udini utadhani linapata faida yoyote,lakini uenda huko kwenye nyumba zao za ibada wanafundishwa kuwachukia watu wa dini nyingineIt's sad sisi middle class tunapokua tunawaza kama hivi mkuu, mafanikio ya mtu dini yake it got nothing to do,na why mchangiaji kaja na udini sielewi kabisa ,maana waliochukua nafasi wote ni wakristu, nachukia udini
Kwa Tanzania siyo!!Ni hatari Sana, jitu linaendekeza udini utadhani linapata faida yoyote,lakini uenda huko kwenye nyumba zao za ibada wanafundishwa kuwachukia watu wa dini nyingine
Ukiangalia huyo na Mgunda bora Mgunda lakini Simba bado wanaona hawana Mzungu kwa ivo wanatafuta Mzungu. Usishangae huyo akachukuliwa na Simba.Hawa Wageni wanakuja hapa wanachukua hela wanaondoka zao. Hakuna impact yeyote.
Watanzania tujitahidi jamani.
Hatujifunzi tu kila mara wanatupiga hao wanaondoka zao.Ukiangalia huyo na Mgunda bora Mgunda lakini Simba bado wanaona hawana Mzungu kwa ivo wanatafuta Mzungu. Usishangae huyo akachukuliwa na Simba.