Kocha Denis Lavagne Atupiwa Virago Azam FC

Kocha Denis Lavagne Atupiwa Virago Azam FC

Tatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...

Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
Mkuu udini hapo mbona siuoni?,hawa care takers coaches wote ni Christians, udini hauna nafasi in the modern world hasa kwetu hapa Tanzania.
 
Tatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...

Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
Kwa nini mnapenda sana kuchanganya uislamu na Uswahili. Tatizo la AZAM kuna uswahili mwingi sana na hao waswahili ndiyo shida yenyewe.

Iwe Muislam au mkristo ila akiwa ana uswahili ni shida. Tabia mojawapo ya Uswahili ni uchawa.
 
Mkuu udini hapo mbona siuoni?,hawa care takers coaches wote ni Christians, udini hauna nafasi in the modern world hasa kwetu hapa Tanzania.
Hilo tahila HIMARS limejaa chuki kwa uislam, Sasa Bora umemjibu, labda yeye angependa iyo team imilikiwe na askofu pengo
 
Tatizo la Azam uislamu mwingi kuliko kazi...

Hilo la udini litawasumbua hadi wauze timu
Tahila wewe, Basi hiyo timu wamuuzie Askofu pengo, kwahiyo sababu mmiliki Ni muislam ndio udini, ila angekuwa anaimiliki mkristo hapo hakuna udini?!
 
huyo jamaa ana chuki na mafanikio ya muislam yoyote, hapo chuki yake ni kwa mmiliki wa timu na dini Yake,
It's sad sisi middle class tunapokua tunawaza kama hivi mkuu, mafanikio ya mtu dini yake it got nothing to do,na why mchangiaji kaja na udini sielewi kabisa ,maana waliochukua nafasi wote ni wakristu, nachukia udini
 
Ni hatari Sana, jitu linaendekeza udini utadhani linapata faida yoyote,lakini uenda huko kwenye nyumba zao za ibada wanafundishwa kuwachukia watu wa dini nyingine
 
Hawa Wageni wanakuja hapa wanachukua hela wanaondoka zao. Hakuna impact yeyote.

Watanzania tujitahidi jamani.
 
Hawa Wageni wanakuja hapa wanachukua hela wanaondoka zao. Hakuna impact yeyote.

Watanzania tujitahidi jamani.
Ukiangalia huyo na Mgunda bora Mgunda lakini Simba bado wanaona hawana Mzungu kwa ivo wanatafuta Mzungu. Usishangae huyo akachukuliwa na Simba.
 
Back
Top Bottom