Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.