Kocha Florent Ibenge anavyoisuka Azam sitoshangaa msimu ujao akibeba kömbe la NBC hata Shirikisho, Mark My Words

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani

Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
 
Azam wana mipango lakini pengine hawana mbinu, wana nafasi ya kuwa timu tishio kama mipango yao itaambatana na mbinu za kuwa mfalme wa soka...

Tatizo huwa naona hawapo serious na mambo yao...
 
Ni mapema sana kufikia kwenye hilo hitimisho na wakati kuna Yanga ambayo kwa misimu zaidi ya minne sasa yenyewe inajazia tu mapengo kwenye kikosi chake, badala ya kukisuka kama wanavyofanya hao Azam na Simba kila msimu mpya unapowadia.
 
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani

Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
NBC ni kama La liga ruka Unavoruka Ubingwa Simba na Yanga hawakosi kwenye misimu miwili
 
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani

Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Waachane na siasa ya Kkoo, wajenge timu na wampe nafasi Ibenge ya kufanya maamuzi bila kuingiliwa.
 
Hadi kwenye viwanja vya mikoani vibovu?
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani

Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
 
Lab

Azam Labda wakasumbue shirikisho huko Caf, ila sio ligi ya bongo ambapo hawa mapacha wawili wanabebwa sana na marefa kwa makosa ya kibinadamu

Ingekuwa ligi yetu ipo fair ktk maamuzi ya marefa, basi Azam na Singida wangekuwa Title contenders wazuri tu
 
Labda wakae meza moja na Mamelod ili wajadili ni kwa njia gani hao wasauz waliweza kupasua ngome ya Orando na Kaizer pale kwa madiba.

Nje na hapo n ngumu kuchukua kombe mbele ya utopolo na makolo
 
ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, unaanzaje kuacha kuingalia Yanga?
 
Nimeangalia hiyo mechi. Sijaona chochote cha maana ambacho Azam wameongeza. Timu haiflow vyema kutoka nyuma, kati hadi mbele. Hakuna goli lolote la buildup walilofunga jana
 
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani

Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Kwa tunaojua Mpira na Wachambuzi wala hatushtushwi na unayoyasema hapa kwani ukweli ni kwamba kwa sasa Wachezaji wa Azam FC wanakaza (wanatia juhudi) ili kutafuta Namba ya Kudumu na Kuaminika kwa Kocha Ibenge na wakishajihakikishia tu utawaona wanarudi kule kule. Ni Juha / Zwazwa tu ndiyo atajua kuwa tatizo la Azam FC lilikuwa ni Kocha.
 
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani

Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Nikuulize
Kuna mwaka AZAM hawàwi vizuri?
Huyo Ibenge wako atakuwa kama George lwanamina ( chicken man)
 
Back
Top Bottom