Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
NBC ni kama La liga ruka Unavoruka Ubingwa Simba na Yanga hawakosi kwenye misimu miwiliNimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Waachane na siasa ya Kkoo, wajenge timu na wampe nafasi Ibenge ya kufanya maamuzi bila kuingiliwa.Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Azam Labda wakasumbue shirikisho huko Caf, ila sio ligi ya bongo ambapo hawa mapacha wawili wanabebwa sana na marefa kwa makosa ya kibinadamuNimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
Kwa tunaojua Mpira na Wachambuzi wala hatushtushwi na unayoyasema hapa kwani ukweli ni kwamba kwa sasa Wachezaji wa Azam FC wanakaza (wanatia juhudi) ili kutafuta Namba ya Kudumu na Kuaminika kwa Kocha Ibenge na wakishajihakikishia tu utawaona wanarudi kule kule. Ni Juha / Zwazwa tu ndiyo atajua kuwa tatizo la Azam FC lilikuwa ni Kocha.Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.
NikuulizeNimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam msiwachukulie poa kabisa kabisa, wana wachezaji wa under 20, wapya na hawa wa sasa, aisee wanavutia sana kuwaangalia, ni bora uache kuiangalia Yanga lkn usiache kuiangalia Azam, burudani tupu yaani
Viongozi Azam mpeni ushirikiano mwanaume huyu Ibenge, kampiga ApR hana Sopu, hana Nado, hana Saadun, hana Msindo wala Mwaikenda.