Kocha Fountain Gate: Kipa wetu kauza mechi

Hakuna golikipa ambaye hatemi mipira.Kazi ya golikipa nikuzuia mpira usiingie golini kwa namna yoyote sio kudaka tuu mipira kwasababu sio mipira yote utaweza kuidaka sawasawa.Tatizo ni jinsi magoli yalivyofungwa,ile wala sio kutema ni kumpa mfungaji.Kama akuhongwa basi alilogwa kwasababu huyo jamaa ni golikipa mzuri makosa yale ni aidha ya makusudi au kuna kitu kilimpata.
 
wewe umewahi kumfuayilia huyo kipa michezo yake akiwa tabora united? mbona alikuwa anatema hivyohivyo?
 
Takukuru wenyewe wala rushwa tu. Leta ushahidi watu wautume fifa caf nk
 
Alisema hajawahi duniani kote kuona timu pinzani inafungwa halafu hao waliofungwa ndio wanashangilia..
 
View attachment 3311519
Kocha huyo amesema golikipa ndiyo amewatoa mchezoni mapema maana magoli aliyofungwa ni ya kupeana tu.
Sawa golkipa wa kwanza amewaangusha na wa pili jee?
Kocha ametafuta sababu ya kukwepa lawama, lakini kama atakuwa na ushahidi usiyotia shaka autoe, kama si hivyo aombe radhi, kwani hizo ni shutuma na tuhuma nzito kwa mchezaji katika kibarua chake cha mpira.
 
Ukitikisa kichwa utaona matokeo mabaya ya kabla yanaweza kupelekea kufanya vibaya zaidi maana molari hufa.

Usikimbilie kunijibu, Tikisa kichwa kwanza
 
Bila ya kutajwa Tatu Malogo kwa CV yake ya kuwabeba Mbumbumbu FC we ni Makolokolo piwa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Makolokolo watapinga hizi hoja murwa kisa tu wana mahaba niue na 5imba FC. Ukipata Ke mwenye mahaba aina ya Makolokolo lazima utusue kiuchumi, kiafya, kiroho hadi kiakili.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
wewe umewahi kumfuayilia huyo kipa michezo yake akiwa tabora united? mbona alikuwa anatema hivyohivyo?
Nitajie golikipa ambaye hajawai kutema mpira.Mipira ya siku hizi ni mepesi na aishikiki mikononi kirahisi kama utakuja kwa nguvu.Tatizo ni jinsi ya kuutema.Kama aliwai kufanya uko nyuma sidhani kama nikwakumtengea adui kama jana.
 
Mh! ni ajabu sana yani kwa level ya yanga ufananishe na hao!, kufungwa ilikuwa lazima tu kutokana na viwango vya wachezaji vilevile hata walipobadili kipa bado walifungwa idadi ileile ya magoli aliyofungwa kipa wa awali!..
so haya maswala yakusema ligi inahongwa ni ubabaishaji yani uhonge michezo 30!, ulipie gharama zote za wachezaji na benchi pamoja na mishahara!.. hivi hizo gharama unakuja kuzirudusha vipi..?

wanaopinga sana hapa ni simba tu hakuna wengine!, wameona dhahiri mwaka huu pia hawalichukui kombe so inauma ndo kelele zinaanza za kuhonga kuhonga!.
angalieni hata quality ya wachezaji wanavyocheza yanga na timu nyengine mtu yoyote atasema tu tz hapa kwasasa hakuna anaeisogelea yanga kwasasa kwenye quality ya wachezaji!.
 
Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania. Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM
5imba kula kichapo zaidi ya mara 5 mfululizo ni GSM huwahonga Makolokolo na kuharibu NBC PL?
Kiukweli Aden Rage ajengewe sanamu kugundua kuwa Makolokolo wote ni Mbumbumbu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania. Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM
Tutajie timu ambayo haidhaminiwi na GSM ambayo haija fungwa na Yanga msimu huu
 
Ukitikisa kichwa utaona matokeo ya kabla yanaweza kupelekea kuendelea kufanya vibaya zaidi maana molari hufa.
Usikimbilie kunijibu, Tikisa kichwa kwanza
Nyie ambao hamahongwi mngeonyesha mfano kwa kuikanda Yanga goli za kutosha, badala yake mnakimbia mnawaachia wenzenu msala
 
Mchezaji kuuza mechi sio lazima timu ifungwe:
Kocha ana sababu za kusema hivyo na huenda ana uthibitisho malidhawa kabisa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…