Kocha Fountain Gate: Kipa wetu kauza mechi

Kocha Fountain Gate: Kipa wetu kauza mechi

Tuhuma nzito hizo, kama mna ushahidi wa rushwa kwanini msitoe taarifa TAKUKURU?
Nashangaa kila siku wanaishia kupiga kelele tu hakuna anayechukua hatua. Angalia fountain gate walivyokurupuka kumsimamisha kipa wao kwa kumpa tuhuma za rushwa halafu hata ushahidi hawana.
IMG_20250424_123202.jpg
 
TAKUKURU wako wapi kuchukua Hatua?
TFF wako wapi? Ameuza kwa nani na kwa mazingira yapi?
 
TAKUKURU wako wapi kuchukua Hatua?
TFF wako wapi? Ameuza kwa nani na kwa mazingira yapi?
Yule kocha wa "amepeana" apelekwe kwenye kamati ya maadili ili atibitishe shutuma za rushwa au akane na kuomba msamaha, kwani kwa kutetea ugali wake anamsagia kunguni kijana wa watu na kupoteza ajira yake.
 
Nitajie shots on target,kona za fountain gates au hata shots off target angalau tuone kama kweli kuna mchezo ulifanyika..
 
Mtoa mada ni aina ya watu mnaotembea na mavi matakoni..

Mavi sio mwiba lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee.
 
Back
Top Bottom