Hilo swali liende kwa Manula na Inonga na Chama pia. Wanayo hesabu yote.Nyie madunduka tuliwahonga kiasi gani, mkaturuhusu tuwabamize 5? Kuliko kishabikia hili, mngekaa kutafakari South moto mtauchomaje, na faini mnayo ya kulipa?
Walishatoka mchezoni. kama wewe ni footballer unaelewa hii kitu.Sawa golkipa wa kwanza amewaangusha na wa pili jee?
Kocha ametafuta sababu ya kukwepa lawama, lakini kama atakuwa na ushahidi usiyotia shaka autoe, kama si hivyo aombe radhi, kwani hizo ni shutuma na tuhuma nzito kwa mchezaji katika kibarua chake cha mpira.
Hivi kweli unahitaji kuwa footballer kujua level ya Yanga ni tofauti na Fountain Gate!Walishatoka mchezoni. kama wewe ni footballer unaelewa hii kitu.
Wewe mpuuzi angalia hii kama ni kweliView attachment 3311519
Kocha huyo amesema golikipa ndiyo amewatoa mchezoni mapema maana magoli aliyofungwa ni ya kupeana tu.
Bila kumsahau BalekeHilo swali liende kwa Manula na Inonga na Chama pia. Wanayo hesabu yote.
Magoli 5-0 aliuza Manula, Inonga na Chama. Chama mumemchukua na Inonga yuko njiani mwisho mwa msimu.5imba kula kichapo zaidi ya mara 5 mfululizo ni GSM huwahonga Makolokolo na kuharibu NBC PL?
Kiukweli Aden Rage ajengewe sanamu kugundua kuwa Makolokolo wote ni Mbumbumbu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ile timu ya Tabora na AzamTutajie timu ambayo haidhaminiwi na GSM ambayo haija fungwa na Yanga msimu huu
Mabinti wa 2000 mna shidaIle timu ya Tabora na Azam
Bila kumsahau Baleke.Magoli 5-0 aliuza Manula, Inonga na Chama. Chama mumemchukua na Inonga yuko njiani mwisho mwa msimu.
Manula yupo anasugua bench, naye mwisho wa mkataba yuko huru mchukueni
Baada ya kipigo cha 5-0 mlifuafiwa na vipigo viwili tena mfululizo 2-1 na 1-0, GSM alihusikaje au wachezaji gani tena waliuza mechi hizo?Magoli 5-0 aliuza Manula, Inonga na Chama. Chama mumemchukua na Inonga yuko njiani mwisho mwa msimu.
Manula yupo anasugua bench, naye mwisho wa mkataba yuko huru mchukueni
Na wewe ni lishangazi la mwaka 1980 au 1970?Mabinti wa 2000 mna shida
Ni upuuzi tu. Unanunua wachezaji bei ghali, unalipa kocha mshahara mkubwa bado unanunua mechi. Ndiyo mana hata wakati wa Nabi walipopata ubingwa siku hiyo aliyebebwa juu ni Engineer Hersi na siyo Coach NabiBila kumsahau Baleke.
Baada ya mechi wakati Shabalala na Kapombe wanalia, Baleke alikuwa anashangilia na kurukaruka huku ameshikana mikono na wakongo wenzake wa Yanga.
Toka siku hiyo Baleke hajacheza hata mechi moja hadi anaondoka, na kama kawaida yao Yanga wakamchukua ili kulipa fadhila
Yanga ni timu nzuri ila haijiamini na inatumia sana njia za hila:
We angalia pamoja na ubora wao mechi nyingi wanapitia milango ya vyooni.
Hata wakicheza na timu ndogo kama Geita wanaruka ukuta baada ya kuingia mlango halali.
Juzi Kipa kawauzia mechi kwa mujibu wa kocha wa timu ya Singida:
Hiyo 2-1 matokeo ya kawaida lakini 1-0 ni udhaifu wa Refree. Ule mpira ulitoka ilibidi ipigwe kona, yeye akaacha gemu iendeleeBaada ya kipigo cha 5-0 mlifuafiwa na vipigo viwili tena mfululizo 2-1 na 1-0, GSM alihusikaje au wachezaji gani tena waliuza mechi hizo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kwani Hersi si alikuwa ndiyo boss wa Nabi!Ni upuuzi tu. Unanunua wachezaji bei ghali, unalipa kocha mshahara mkubwa bado unanunua mechi. Ndiyo mana hata wakati wa Nabi walipopata ubingwa siku hiyo aliyebebwa juu ni Engineer Hersi na siyo Coach Nabi
Last season mliopo kua mna andamana Mangungu awa achie timu yenu alikua kocha?Ni upuuzi tu. Unanunua wachezaji bei ghali, unalipa kocha mshahara mkubwa bado unanunua mechi. Ndiyo mana hata wakati wa Nabi walipopata ubingwa siku hiyo aliyebebwa juu ni Engineer Hersi na siyo Coach Nabi
Rage alikua sahihiKwani Hersi si alikuwa ndiyo boss wa Nabi!
Hata saa mbovu kuna wakati husema kweli!Rage alikua sahihi