Dooh mkuu umeacha kufwatilia soka mwaka gani, inaonekana kitambo sana.Fred felix Minziro, huyu mwamba aliichezea Yanga kwa mapenzi ya dhati kabisa, sikua najua kama bado yupo kwenye Soka kama kocha, nimtakie maisha marefu yenye afya na furaha.
Jirani yangu huyuFred felix minziro,huyu mwamba aliichezea Yanga kwa mapenzi ya dhati kabisa,sikua najua kama bado yupo kwenye Soka kama kocha,nimtakie maisha marefu yenye afya na furaha.
Mkuu nabeba box huku kwa malkia,so kuna vingine vinanipita.Dooh mkuu umeacha kufwatilia soka mwaka gani, inaonekana kitambo sana.
Minziro mbona ni kocha regular sana bongo kashafundisha timu nyingi sana za ligi kuu kwa nyakati tofauti tofauti hata yanga kafundisha sana.
Pamoja mkuu ..Mkuu nabeba box huku kwa malkia,so kuna vingine vinanipita.
Hivi amefanya nn huyo bwana KariaMinziro kaongea kwa busara kumstahi Karia ila alichofanya Karia ni ujinga wa kiwango cha lami
Wakati wa kuwaga medali Minziro alikuwa anampa mkono Karia ,Karia akajifanya hajamwona ,akaanza na wengine ,ile anampa tena mkono Karia akajifanya tena yuko busy kuangalia pembeni hamwoniHivi amefanya nn huyo bwana Karia
Hata mimi najaribu kuita watu watusaidie kushangaa.wanatoka povu balaa.wanaosahau kuwa nao ni binadam hakuna mkamilifu.Anayepaswa kulalamika anasema hakukuwapo tatizo lolote, wasiopaswa kulalamika ndio wanalalamika
Hakuna tatizo lolote! Kwamba huna macho au hujaiona video husika...nafki.Anayepaswa kulalamika anasema hakukuwapo tatizo lolote, wasiopaswa kulalamika ndio wanalalamika
Babu tale kasema marufuku kujiita maraisi hapa nchini kwani raisi ni mmoja tuKaria kanenepa sana, ngoja nichukuwe fomu ya kugombea urais tiefuefu