Nakumbuka ameshapandisha daraja timu mbili tofauti kabla ya hii. Akisha pandisha anatemwa timu inatafuta kocha mwengine, sijui mara hii tenaDooh mkuu umeacha kufwatilia soka mwaka gani, inaonekana kitambo sana.
Minziro mbona ni kocha regular sana bongo kashafundisha timu nyingi sana za ligi kuu kwa nyakati tofauti tofauti hata yanga kafundisha sana.