Nakumbuka ameshapandisha daraja timu mbili tofauti kabla ya hii. Akisha pandisha anatemwa timu inatafuta kocha mwengine, sijui mara hii tenaDooh mkuu umeacha kufwatilia soka mwaka gani, inaonekana kitambo sana.
Minziro mbona ni kocha regular sana bongo kashafundisha timu nyingi sana za ligi kuu kwa nyakati tofauti tofauti hata yanga kafundisha sana.
Minziro ndo kazi yake kubwa iyo kupandisha team alaf anatemwa,,Nakumbuka ameshapandisha daraja timu mbili tofauti kabla ya hii. Akisha pandisha anatemwa timu inatafuta kocha mwengine, sijui mara hii t
Babu tale kasema marufuku kujiita maraisi hapa nchini kwani raisi ni mmoja tu
Mbona mnafosi kuwepo na chuki ilhali mwenyewe anakataa mnafaidika nini?Minziro kaongea kwa busara kumstahi Karia ila alichofanya Karia ni ujinga wa kiwango cha lami
Wapi bukobaJirani yangu huyu
NdioWapi bukoba