Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Ku draw away ni kuboronga?Kocha huyu anajeuri sana.
Yanga wamesababisha yote haya kwa kubolonga kule botswana
Kwa timu ile ni kuboronga.Ku draw away ni kuboronga?
Timu ile makolo wako si walicheza nao last season je walishinda?Kwa timu ile ni kuboronga.