Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Hakuna ngumi iliyorushwa pale, haya acha ushamba rudi uwanjani ukamalizie kuangalia mpiraMechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa SBS Ni ushamba kwa mtu mzoefu na Football Kama Yeye.
mkuu umedandia tren kwa mbele ukijifanya mtabiri wakat hakuna sehemu imeonesha gamond akifanya fujobaada ya msimu jana nilikuwa na mwambia rafiki yangu mmoja ambaye ni mtani kwamba msimu huu wa Sasa gamond atakorofishana sana na waamuz..
Unaclip......? Mimi nimeona wamesukumana......Mechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa SBS Ni ushamba kwa mtu mzoefu na Football Kama Yeye.
PIA SOMA
- LIVE - Singida BS 0-0 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024
Aiseeeeemkuu umedandia tren kwa mbele ukijifanya mtabiri wakat hakuna sehemu imeonesha gamond akifanya fujo
baada ya msimu jana nilikuwa na mwambia rafiki yangu mmoja ambaye ni mtani kwamba msimu huu wa Sasa gamond atakorofishana sana na waamuzi nyongo yake inachoma haraka sana huyu akikutana na gemu zinazompalia ataruka sana sambasot
Una maanisha Bongo ndiyo ligi yake ya kwanza kufundisha?Gamondi hana utulivu kabisa ,wacha kipimo chake marefa wa nje watamfumza Adabu.
Hivi like kichaa hujapona?πππSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141441