Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Mechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa Singida Black Stars Ni ushamba kwa mtu mzoefu na Football Kama Yeye.
PIA SOMA
- LIVE - Singida BS 0-0 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024
PIA SOMA
- LIVE - Singida BS 0-0 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024