Kocha Gamond kumchapa ngumi mtu wa Singida Black Stars ni Ushamba

Kocha Gamond kumchapa ngumi mtu wa Singida Black Stars ni Ushamba

Mechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa SBS Ni ushamba kwa mtu mzoefu na Football Kama Yeye.
Hakuna ngumi iliyorushwa pale, haya acha ushamba rudi uwanjani ukamalizie kuangalia mpira
 
baada ya msimu jana nilikuwa na mwambia rafiki yangu mmoja ambaye ni mtani kwamba msimu huu wa Sasa gamond atakorofishana sana na waamuzi nyongo yake inachoma haraka sana huyu akikutana na gemu zinazompalia ataruka sana sambasot
 
baada ya msimu jana nilikuwa na mwambia rafiki yangu mmoja ambaye ni mtani kwamba msimu huu wa Sasa gamond atakorofishana sana na waamuzi nyongo yake inachoma haraka sana huyu akikutana na gemu zinazompalia ataruka sana sambasot

Gamondi hana utulivu kabisa ,wacha kipimo chake marefa wa nje watamfumza Adabu.
 
Jitu zima linaguswa kidogo tu, eti linajiangusha! Sijui ni kwa nini siku hizi kuna watu wa jinsia yetu wamekuwa kama mlenda.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141441
Hivi like kichaa hujapona?😂😂😂
 
Back
Top Bottom