Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

Mnataka kuleta wafitinishaji kwenye timu, mtu wa kutengeneza makundi kwenye dressing room. Acha iwe hivi hivi angalia upendo uliopo kwenye timu hakuna mchezaji anayejiona ni bora kuliko wenzake bali wote wanajiona ni wanafamilia na umoja wao ndio mafanikio ya timu.
 
Kwahiyo na Man City ni pesa za kina Sheikh Mansour makocha hawana la maana sana. Tukimpeleka Guardiola Ipswich Town ndio tutaelewa?
Pep alikuwa Bayern!, walikuwa wanacheza mpira wa aina gani?. Pale City wanahela wanafanya sajili zilizo bora tayari sokoni.
 
Matola huyu huyu awe hazina kwa taifa ! Labda kwa ushiriki - na.
Nimesema baada ya muda, naamini kitendo cha kuwa chini yaa makocha mbalimbali wa kimataifa,naamini kuna kitu atakuwa na anaendelea kujifunza..kwa sasa aachwe aendelee kuchota MAUJUZI
 
Makocha Wazawa ni chanzo Cha migogoro na ushirikina na Timu huanza kufanya vibaya
 
Ila shida yetu tumejawa uchoyo,fitna na tamaa,tukipata nafasi tunawaza kunufaika binafsi na nafasi tuliyopata,angalia jirani zetu kila kitu wanacho na huenda ugonjwa wao ni hao wansoitwa wazawa.Japo nguvu mingimingi inatumika,kile angalao wanachokipata ni kwaaa taaaabu sana.
 
katika ufala ambao tz tunao nii huu anazungumza mtoa mada. kwa kweli wizara na tff zinabidi zifkirie. ebu imagine yanga wanafika cacc final hamna kocha ata mmoja mzawa aliye benefit kutokan na mafanikio hayo.
 
Wale wachezaji wa zamani kina Nsajigwa na Nadir Haroub wangekaa benchi ingekaa vizuri sana kimkakati wa Taifa la Wadanganyika,ila mtoa mada acha sifa za kijinga.
kabisa mwanawane tena kama fuso ndio alifaa kabisa maana mtu wa kazi yule yanga wana malengends wengi tuu ambao wanaweza ka hapo kama assistants na wakawa groomed kuwa head coaches wa yanga hapo baadae.
 
Hawa kina matola hawafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…