Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

Vuka kwanza makundi tuone kama rahisi ili uanze kuchukua ww ufungue njia umecheza mechi 9 Caf champions league group umepigwa 5 ume draw 4 hujawahi shinda hata mechi moja tangia 1993.
shirikisho mlicheza kiliwapata nini?
 
Hakuna mashindano rahisi duniani labda ya chumbani
 
Zile 5 zilifyatua fyuzi zote mpaka mnaweweseka Kama kuku wa mdondo, ebu tuwekee iyo press ya gamond labda alikuwa anayasemea nyumbani kwako maana press zake zote tumezisikia tuwekee iyo yenye ayo maneno uliyoyatapika mwenyewe!
 
Ninachomkubali kocha wa yanga ni kwamba jamaa mkweli sana na hana kona kona, ila kwa nature ya hawa ndugu zetu basi hana maisha marefu hapo utopoloni
 
Ili kombe liwe rahisi inabidi uwe usha lichukua mara kadhaa japo sidhani kama Real Madrid wanaweza kusema UCL ni rahisi sababu wamelichukua mara nyingi au Brazil waseme world cup ni rahisi
 
Kombe la kitoto ambalo Simba hajawahi kufika hata nusu fainali.
 
Zile 5 zilifyatua fyuzi zote mpaka mnaweweseka Kama kuku wa mdondo, ebu tuwekee iyo press ya gamond labda alikuwa anayasemea nyumbani kwako maana press zake zote tumezisikia tuwekee iyo yenye ayo maneno uliyoyatapika mwenyewe!
Rudi kwenye post ya kwanza utaiona ila usisahau kurudi kunishukuru maana wenzio wakishaiona wanapotea mazima
 
Acheni viburi msikilizeni kocha wenu 😀 😀 Kama hamuelewi hii code waulizeni waliosoma Cuba

Your browser is not able to display this video.
 
Vuka kwanza makundi tuone kama rahisi ili uanze kuchukua ww ufungue njia umecheza mechi 9 Caf champions league group umepigwa 5 ume draw 4 hujawahi shinda hata mechi moja tangia 1993.
Hii ntatamba nayo mtaani
 
Hii inajulika tangu mwanzo
Caf CL ni first tier competition
Caf cc ni second tier competition.

Gamondi anasema kwenye confederation mabingwa wa fa wa nchi mbalimbali wanakutana , na wakati mungine sio lazima best timu ishinde kombe la fa maana timu ya kawaida inaweza kucheza mechi 4 ikafika fainali ya fa na ikashinda Kombe wakati mungine kwa penati .

Kwenye champions league ni mabingwa wa ligi za nchi na ili ushinde kombe la ligi lazima ucheze mechi 30

Swali je ukifanya viZuri confederation usipewe credit Kwasababu ni confederation?
 
Hakuna mashindano rahisi tusidanganyane kama ni rahisi timu yoyote ililete hilo kombe hapa Tanzania
 
Watamkataa muda si mrefu ila kawaambia ukweli hii sio kombe la ma looser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…