Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

Vuka kwanza makundi tuone kama rahisi ili uanze kuchukua ww ufungue njia umecheza mechi 9 Caf champions league group umepigwa 5 ume draw 4 hujawahi shinda hata mechi moja tangia 1993.
Hii silaha uliyoitumia kumuulia Nzi wa kijani ni kubwa mno. Akirudi tena unistuwe
 
Sisi tulivaa medal za Caf champions league mwaka 1993 Kwan nyie mmechukua nn hko Caf confederation cup baada ya kumtoa kibonde marumo gallant iliyoshuka daraja huko kwa madiba.
Timu ipi ya Tanzania iliyowahi kuvaa medali za Caf champions league mwaka 1993 labda kama kuna Tanzania nyingine huko Afrika Kaskazini au Magharibi.
 
Utakuwa umeanza kushabikia mpira baada ya mayele kusajiliwa Yanga .
Shida kubwa ya yanga ni kujifananisha na simba hilo tatizo lao waliposema al ahly mbovu nikajua watawapiga 5 kumbe na walipumulia mashine tu.
 
Timu ipi ya Tanzania iliyowahi kuvaa medali za Caf champions league mwaka 1993 labda kama kuna Tanzania nyingine huko Afrika Kaskazini au Magharibi.
Toa huo mwiko hko nyuma kwanza ili twende sawa.
 
Hii inajulika tangu mwanzo
Caf CL ni first tier competition
Caf cc ni second tier competition.

Gamondi anasema kwenye confederation mabingwa wa fa wa nchi mbalimbali wanakutana , na wakati mungine sio lazima best timu ishinde kombe la fa maana timu ya kawaida inaweza kucheza mechi 4 ikafika fainali ya fa na ikashinda Kombe wakati mungine kwa penati .

Kwenye champions league ni mabingwa wa ligi za nchi na ili ushinde kombe la ligi lazima ucheze mechi 30

Swali je ukifanya viZuri confederation usipewe credit Kwasababu ni confederation?
Umefafanua vizuri sana hichi ndicho alichosema Gamondi sasa huyu muanzisha mada nafikiri lugha inamshinda ama kaamua kwa makusudi kupotosha tu hakuna sehemu Gamondi kasema shirikisho ni michuano ya watoto.
Tuache kuongea ongea tu sababu tunayo nafasi ya kuongea au kuanzisha mada.
 
Swali je ukifanya viZuri confederation usipewe credit Kwasababu ni confederation?

Unastahili kupata credit, lakini njia ulizopita, ndio hizo za kukutana na akina GEITA, NAMUNGO, BIASHARA, SINGIDA za hizo nchi!
 
Utakuwa umeanza kushabikia mpira baada ya mayele kusajiliwa Yanga .
Nimeshabikia mpira toka 1965 Oryx de Douala ya Cameroon inatwaa ubingwa wa kwanza wa kombe la klabu bingwa barani Afrika na wewe nina uhakika ulikuwa hujazaliwa.
 
Nimeshabikia mpira toka 1965 Oryx de Douala ya Cameroon inatwaa ubingwa wa kwanza wa kombe la klabu bingwa barani Afrika na wewe nina uhakika ulikuwa hujazaliwa.
Kwa ivo una miaka mingapi Sasa? Maana 2023 - 1965 = 58.
 
Back
Top Bottom