mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Hii silaha uliyoitumia kumuulia Nzi wa kijani ni kubwa mno. Akirudi tena unistuweVuka kwanza makundi tuone kama rahisi ili uanze kuchukua ww ufungue njia umecheza mechi 9 Caf champions league group umepigwa 5 ume draw 4 hujawahi shinda hata mechi moja tangia 1993.
Timu ipi ya Tanzania iliyowahi kuvaa medali za Caf champions league mwaka 1993 labda kama kuna Tanzania nyingine huko Afrika Kaskazini au Magharibi.Sisi tulivaa medal za Caf champions league mwaka 1993 Kwan nyie mmechukua nn hko Caf confederation cup baada ya kumtoa kibonde marumo gallant iliyoshuka daraja huko kwa madiba.
Utakuwa umeanza kushabikia mpira baada ya mayele kusajiliwa Yanga .Timu ipi ya Tanzania iliyowahi kuvaa medali za Caf champions league mwaka 1993 labda kama kuna Tanzania nyingine huko Afrika Kaskazini au Magharibi.
Ingependeza ukaonyesha wakati wanavaa medali ili kumdhibitishia walivaaUtakuwa umeanza kushabikia mpira baada ya mayele kusajiliwa Yanga .
Shida kubwa ya yanga ni kujifananisha na simba hilo tatizo lao waliposema al ahly mbovu nikajua watawapiga 5 kumbe na walipumulia mashine tu.Utakuwa umeanza kushabikia mpira baada ya mayele kusajiliwa Yanga .
Toa huo mwiko hko nyuma kwanza ili twende sawa.Timu ipi ya Tanzania iliyowahi kuvaa medali za Caf champions league mwaka 1993 labda kama kuna Tanzania nyingine huko Afrika Kaskazini au Magharibi.
Mashabiki wa yanga ni bendera fuata upepo tatizo.Hii silaha uliyoitumia kumuulia Nzi wa kijani ni kubwa mno. Akirudi tena unistuwe
Umefafanua vizuri sana hichi ndicho alichosema Gamondi sasa huyu muanzisha mada nafikiri lugha inamshinda ama kaamua kwa makusudi kupotosha tu hakuna sehemu Gamondi kasema shirikisho ni michuano ya watoto.Hii inajulika tangu mwanzo
Caf CL ni first tier competition
Caf cc ni second tier competition.
Gamondi anasema kwenye confederation mabingwa wa fa wa nchi mbalimbali wanakutana , na wakati mungine sio lazima best timu ishinde kombe la fa maana timu ya kawaida inaweza kucheza mechi 4 ikafika fainali ya fa na ikashinda Kombe wakati mungine kwa penati .
Kwenye champions league ni mabingwa wa ligi za nchi na ili ushinde kombe la ligi lazima ucheze mechi 30
Swali je ukifanya viZuri confederation usipewe credit Kwasababu ni confederation?
Swali je ukifanya viZuri confederation usipewe credit Kwasababu ni confederation?
Hata ya chumbani siyo rahisi,muulize bashite hadi kwenda kukamuliwa mbegu kama ng'ombe ili zikarutubishwe kwenye maabara .Hakuna mashindano rahisi duniani labda ya chumbani
Hayo kayasema Gamondi iweje Sasa unawashambulia Simba??Kombe la kitoto ambalo Simba hajawahi kufika hata nusu fainali.
Jibu swali acha uhuni.Toa huo mwiko hko nyuma kwanza ili twende sawa.
Nimeshabikia mpira toka 1965 Oryx de Douala ya Cameroon inatwaa ubingwa wa kwanza wa kombe la klabu bingwa barani Afrika na wewe nina uhakika ulikuwa hujazaliwa.Utakuwa umeanza kushabikia mpira baada ya mayele kusajiliwa Yanga .
Rage ni nabiiSisi tulivaa medal za Caf champions league mwaka 1993 Kwan nyie mmechukua nn hko Caf confederation cup baada ya kumtoa kibonde marumo gallant iliyoshuka daraja huko kwa madiba.
Kwa ivo una miaka mingapi Sasa? Maana 2023 - 1965 = 58.Nimeshabikia mpira toka 1965 Oryx de Douala ya Cameroon inatwaa ubingwa wa kwanza wa kombe la klabu bingwa barani Afrika na wewe nina uhakika ulikuwa hujazaliwa.