Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

Makopo tena 😀
 
Yani mechi Moja tu ushaanza kumlaumu kocha? Ana muda Gani na timu uyo kocha? Kusimama timu siku 3 tiyali kashusha viwango vya wachezaji? Hii nchi ngumu sana hii!
 
Yani mechi Moja tu ushaanza kumlaumu kocha? Ana muda Gani na timu uyo kocha? Kusimama timu siku 3 tiyali kashusha viwango vya wachezaji? Hii nchi ngumu sana hii!
Kwenye mpira kuna mambo yakuzingatia mkuu
Kitendo cha kuanza na chama ni wazi huyu kocha ni mbishi hasikilizi wasaidizi wake

Juzi tu moalin kaachiwa timu hatukuona haya mambo
 
Kwenye mpira kuna mambo yakuzingatia mkuu
Kitendo cha kuanza na chama ni wazi huyu kocha ni mbishi hasikilizi wasaidizi wake

Juzi tu moalin kaachiwa timu hatukuona haya mambo

Yaani ni bora wangemwachia Moalin hadi mwisho wa msimu kisha wakatafuta kocha wa kueleweka akaanza na msimu mpya.
 
Ramovic hakukubalika na mashabiki wengi wa Yanga akiwemo ngara23 ila jicho linalojua mpira wakamchukua fasta tu tena kwa dau nono. Na aliondoka na takwimu nzuri sana akiwa Yanga kwenye ligi kuu.
Kwenye ligi dhaifu
 
Game ya jana wachezaji walikua wanacheza kama vile wana uchovu sana. Sijui ni fitness imeshuka ghafla au izo siku mbili za wikiend walikesha kidimbwi.

Pia kocha anaonekana bado hawajui vizuri wachezaji wake. Chama sio wa kuanza mbele ya Aziz kii, sub za mzize na pacome zingesubiri kwanza. Sub 3 za kwanza zilitakiwa kuwatoa nje mudathir, chama na dube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…