Kocha Jan Poulsen vs Central Africa

Kocha Jan Poulsen vs Central Africa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
taifa staz inateremka leo dimbani kukutana na jamhuri ya africa ya kati huku kocha mkuu wa timu ya taifa Mr poulsen akijisafisha na kutotaka kubeba lawana m, huyu kocha amejihakikishia kabisa kuwa hana uhakika kuwa atashinda
Kocha Poulsen amesema hana uhakika kama atashinda mechi hiyo kutokana na ubora wa kikosi cha Jamhuri ya Kati, lakini hawana budi kupambana na kukubaliana na matokeo yoyote!!!
ila badae akasema kuwa
Hata hivyo, Poulsen alisema anatarajia kupata matokeo mazuri kupitia mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samata na kipa Shabaan Kado.
!!!
Jamhuri Kiwelu (JK) naye anashuka dimbani kupambana na timu ya nigeria huku akimkosa Samatta ,Kado na Ngasa
ila yeye alisema hivi
ìTimu ipo katika hali nzuri kabisa tayari kwa kukabiliana na Nigeria siku ya Jumapili licha ya kuwakosa baadhi ya nyota ambao wmeondoka na Taifa Stars.
!!!
matokeo:Tanzania U23 1- Nigeria U23-O (game over) Goli limefungwa a Ulimwengu dk ya 83
 
kuna mweney taarifa yoyote kuwa mpira utarushwa na tv yoyote hapa TZ?
 
TBC siku hizi ni kitengo cha ccm so tusitegemee chochote kizuri
 
Kwenye ilani ya TBC ya mwaka huu 2011/2012 hakuna kipengele kinachosomeka TBC itaonesha mpira uwe wa ndani ama wa nje/uwe wa kirafiki ama wa kimataifa,kodi zetu ziko bize zinaonesha magamba na ngozi zenye damu ya magamba
 
Watatangaza hiyo mechi kupitia radio free....
 
FYI.....

Game ya timu ya Taifa ya Vijana(Manyara Stars) na Nigeria inaendelea,ni dakika ya 40 kipindi cha pili sasa ,Manyara Stars wanaongoza kwa goli 1 lilifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 83
 
Hongereni vijana, maandalizi yawe ya uhakika ili tuwatoe hao jamaa!
 
kuna mweney taarifa yoyote kuwa mpira utarushwa na tv yoyote hapa TZ?

mtakatifu Ivuga uni PM kunipa matokeo kama tumekalia kigoda au tumeshinda..niko busy jukwaa la siasa na archive post za kukamatwa kwa mbowe maana nataka niweke kumbukumbu kwa akina Gaude siku ukombozi utakapofika wa njii hii
 
FYI.....

Game ya timu ya Taifa ya Vijana(Manyara Stars) na Nigeria inaendelea,ni dakika ya 40 kipindi cha pili sasa ,Manyara Stars wanaongoza kwa goli 1 lilifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 83
hongrea Jamhuri big up ulimwengu
 
Hongera sana kwa Vijana wetu,tumecheza bila ya SHABAN KADO na MBWANA SAMATTA kuwepo(wapo CAR na Taifa Stars).....Hope game ijayo watatusaidia kuwang'oa Wanaija kule Lagos...

Hongerza zake Julio Alberto Perreira-Jamhuri Kihwelu
 
Back
Top Bottom