GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa Kocha Msaidizi wake.
GENTAMYCINE nililiona hili mapema na kuutaka Uongozi wa Simba SC ukutoe hapo Wewe na Mnafiki na Msaliti Mwingine Kocha Matola na mpaka Msaliti Mwingine Meneja Rweymamu ili kumpa Uhuru na Ufanisi zaidi Kocha Mkuu huyu Mpya Mbrazili Olivieira.
Kocha Msaidizi Mgunda tokea Kocha Mkuu Olivieira atangazwe Simba SC upesi sana 'Body Language' yako nayo ilibadilika na kuanza kuwa na Kiburi, Majungu, Kususia baadhi ya Mambo na Kujitenga katika Ufundishaji na utoaji na Maelekezo.
Anza kujiandaa sasa Kisaikolojia juu ya Nafasi yako hapo Simba SC kama Kocha Msaidizi kwani muda wowote Unanyolewa ila utapoozwa tu Kiaina kwa kupangiwa Majukumu mengine ndani ya Klabu na baadae kabisa watakutafutia Kosa na Kukunyoa kabisa kwani wanajua Wakikunyoa mazima sasa unaweza Kulalamika, Kutoa Siri muhimu za Timu na kuharibu mwenendo wa Ufanisi wa Klabu ya Simba.
Mwisho namalizia kwa Kuulaumu Uongozi wa Simba SC kwani kwakuwa walishajua kuwa wanamleta Kocha Mkuu Mbrazili Olivieira basi walipaswa walifyagie Benchi zima la Ufundi na wamruhusu aje na lake ili akiharibu tutakuwa na Wigo mpana wa Kumlaumu kuliko kuruhusu aje peke yake na afanye Kazi na Wazawa ambao (Wengine tunaishi nao Mitaani mwetu) na tunawajua kuwa ni Mabingwa wa Majungu, Fitna, Uchochezi na hata Ushirikina ili Kocha Mgeni asikae / afukuzwe.
Cc: residentura